Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa bahati mbaya HATA kwenye limwili la LIBINADAMU zuri.....!

>> Saturday, May 29, 2010

Mdomo wa kulia ndio huohuo wa KUTAPIKIA kilichoingizwa MWILINI.


Sehemu za siri zenye kiburudisho KWA WASIO MAPADRE ndizo hizo hizo zenye kutoa Uchafu mwilini au ndizo zilizo karibu na chakutolea uchafu a.k.a kimba/timba  MWILINI.


Tako zuri ulipendalo wakati linatikiswa mtu akitembea eti ndilo hilohilo tumizi lake kubwa ni kukaliwa au tu kuficha kijambio mwilini.

Swali:

  • Kama unadharau kazi ya tako , unafikiri ni rahisi kukaliwa au kutunza kijambio?

Halafu eti mikono ya kuchambia ndio hiyohiyo isaidiayo kupeleka chakula mdomoni ili kiende Mwilini.:-(

    Halafu eti Kitovu na Mavuzi KWA WA KUBWA  zaidi tu yakuwatia madoa WATU  kunauwezekano havina kazi MWILINI.:-(


    Swali:

    • Hivi mkuu bado unanisoma tu?
    • Unauhakika usomi ujinga ?
    • Si unakumbuka kusoma ujinga ni mazoezi ya akili pia?

    Ndio,...
    ... eti limwili la binadamu lina KICHWA na moja ya tumizi la KICHWA sio kusoma NA wala sio kutumia akili!:-(

    NIMEACHA wazo MHESHIMIWA!:-(








    Hebu Alpha Blondy akite-LES CHIENS


    Au ngojea tu tubakie Ivory Coast ili Alpha Blondy akune kwa- Brigadier sabari





    Au tuhamie Ufaransa kidogo katika kubadili ili DAFT PUNK wanyuke katika kupoza mshawasha kwa ushauri- Make love



    Au tubakie hapahapa Ufaransa  ili St Germain wafankifai kwa mara nyingine kwa ndude- Sure Thing

    1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

    Fadhy Mtanga 12:39 pm  

    Mkuu mi bado nakusoma tu...na sina hakika kama huu niusomao ni ujinga kama wewe uuitavyo ama ni tafakuri nyingine nayopaswa kuitafakari kwa lugha ya nyepesi ya picha.

    Ila mkuu kibao cha Alpha Blondy cha Brigadier Sabari kimenisuuza mtima mbaya mno.

    Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


    Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

    Partner

    save mt. Kenya campaign
    In partnership with africapoint.com

    Taswira BANANGENGE

      © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

    Back to TOP