Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MSHINDI wa uhakika KABLA YA MECHI labda ni yule MSHABIKI wa REFA.:-(

>> Saturday, June 12, 2010

Ukimshabikia REFA,....
.....haki ya sehemu za siri za mjusi vile,....
.... labda SI kweli huna TIMU!:-(

Na haki ya MAMA YAKE  naniliu vile,....
..... uwafahamuo wadaio wana ushabiki wa timu ,....
...kunaambao KAMA UNAUELEWA MSHUGHULIKO  waweza kuona waziwazi kama tu uonavyo chupi ya mwalimu aliyekaa vibaya darasani kuwa hao  ni VITIMUTIMU!:-(


Swali:
  • AU?
  • Kitimutimu si unajua hajatulia na anaweza KUTIMUKA?


Kwa bahati MBAYA inasemekana HATA katika kitimutimu  ,...
....kuna wajisikiao wana TIMU.:-(


Swali kitindamimba:
  • Umeshawahi kumshabikia refa wakati timu mbili  USIZOJUA KAMA ZINAUHUSIANO NA REFA zinabinyana ?

Samahani kwa tararila hii hasa nikiamini unakumbuka ni RUKSA KUTOELEWA!:-(

Hebu  tudungwe na amdungaye kikubwa Rais  OBAMA  katika kubadili HALI YA HEWA KIJIWENI  ajulikanaye kama Michelle Obama alete taralila iitwayo-My parents sacrificed for US



Au ngojea Q Tip na kundi zima la Tribe CALLED QUEST wadunge -Stressed out



Au tu TribecalledQUESt ft PHARELL waongezee tu MDUNGO tena unukuliwao kimaandishi kama - Can I kick it like that


Au tuachie tu mdungo orijino wa TribeCALLED QUEST kabla wajanja hawajajipendekeza katika-Can I kick it

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 9:42 pm  

Genial fill someone in on and this fill someone in on helped me alot in my college assignement. Thank you for your information.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP