Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Unafikiri YULE umpendaye kwa UZURI ni MZURI?

>> Sunday, June 13, 2010

Uzuri ni kitu cha AJABU ,...

.... LABDA ndio maana kuna APENDWAYE kwa kuwa anavutia FANTASI za sehemu zake zisiri kwa AMVUTIWAYE kwa kuwa tu ETI  ana  MATEGE.:-(


Uzuri ni kitu cha ajabu,....
.... ndio maana kuna ampendaye ujuaye kwa uhakika ni  mwenye PENGO  ila AMPENDAYE  anaamini hilo pengo ni MWANYA na  akihisi huoni avutiwacho anawezafanya siri na KUKIRI KWAKE hilo labda ni mpaka UMTEGE.:-(


Na uzuri wa MWANYA kama tu MATEGE YA MPENZI kimaajabu,...
....inawezekana kuwa ni kuwa HAKUNA kinacho kusaidia wewe MHESHIMIWA kama lengo na MAHITAJI YAKO YA MSHAWASHA  litafanikiwa zaidi KIFARAJA kama ukilenga MCHOCHEO katika LIMWILI LA MTU kwenye KIKOJOLEO hata cha ambaye hana MATEGE .:-(


Swali:

  • Hivi wewe MHESHIMIWA unahisi wewe ni MZURI uchi?

NI WAZO TU HILI la JUMAPILI!
JUMAPILI NJEMA MHESHIMIWA!

Hebu BOB MALYA arudie- BAD CARD



Au tu hebu  BURNING Spear naye asisistizie- SHE is MINE


5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:59 pm  

Simon! mmmhh:-(

o'Wambura Ng'wanambiti! 9:46 am  

Labda ni kweli mkuu!

Real Adventure Safaris 8:06 pm  

mkuu mi naona kweli!!! he he!! nilipotea kwenye ulingo wa blog sasa nimerudi tuko pamoja baba!! Zeph

Yasinta Ngonyani 5:41 pm  

Mtakatifu upo wapi maana huu ukimya duh!!

emuthree 1:00 pm  

Hebu kweli tutafakari, watu watembee uchi, watapendeza kweli, hapana, mtu anaonekana mzuri zaidi akiwa kavaa nguo, hili linadhihiri katika hali halisi.

emu-three

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP