Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuna sababu inasemekana ALIYELALIWA wakati anafanya tendo la NDOA anaweza kudai hasikii UZITO wa LIJAMAA ZITO limlalialo!:-(

>> Saturday, July 24, 2010

KUSIKILIZIA ,...

...LABDA inategemea ULIVYO MARIDADI katika kuelekezea msisitizo wa  nguvu  KUSIKILIZIA tu unachotaka KUKISIKILIZIA.....


... na labda  ukilala husikii uumwavyo na MBU kwa kuwa  MBU katika kulala kwako HAUMLENGI na sio muhimu sana.:-(


Swali:
  • Unafikiri wakati unanjaa na umelipa wazo la CHAKULA umuhimu, wakati huo huwa unakumbuka umuhimu wa kuwa umevaa chupi?



Kumbuka tu  LABDA wakati unafanya huku UKISIKILIZIA,...

.... unacho taka ndicho unacho KISIKILIZIA,....

....ila usivyo visikilizia vipo tu  kama NYWELENYWELE za sehemu za siri kwenye SEHEMU ZA SIRI ambazo hata kama zinachomachoma kwa kuwa zili katwa kurembesha SHEHENA  wakati shehena inatumika husahauliwa kwakuwa sizo zilengwazo katika CHACHU  wakati mgidaji shehena, KATIKA NGUVU  KAZI  kuliko vitu vingine  anashughulikia shehena sana.:-(


Swali:
  • SI mtafuna BIG G aka LAWALAWA NYAMA wakati anasikilizia utamu wa SUKARI anaweza kusahau atafunacho ni MPIRA?

NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA na nakutakia SHIBE leo MKUU!


Hebu GREGORY Isaacs arudie ndude- Good Morning




Au tu Gregory Isaacs arudie tena -My only Lover



Samahani naachia Picha kadhaa za Arusha

Photobucket



Photobucket



Photobucket




Photobucket



Photobucket




Photobucket




Photobucket



Photobucket




Photobucket








Photobucket




Photobucket




Photobucket


Photobucket



Photobucket



Photobucket




Asanteni WADAU !

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:34 pm  

wow! naona ulikuwa na wakati mzuri kweli HONGERA.:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP