Umuhimu wa CHUCHU kwenye TITI.
>> Tuesday, July 27, 2010
Tahadhari: Labda TARALILA hii ina WAZO ambalo halijaenda shule hasa kama UHESHIMIWA wako unakuponza kuchokozwa wazo na UJINGA.:-(
Labda TITI zima halistaili sifa,...
... kama kishikilia MNYONYO kwa mtoto ni CHUCHU.:-(
Swali:
- Si ukifikiria unaweza kuhisi labda MATAKO yanasifiwa zaidi kuliko yastailivyo sifa kama kaziyenyewe inafanywa na mkundu?
- Unafikiri CHUCHU inahitaji TITI?
Ndio,...
....labda ni titi ndio sehemu ya CHUCHU kama ukizidisha kufikiria.:-(Samahani kwa LUGHA na NIMEACHA wazo hili MHESHIMIWA!
Hebu niwaache MADEMU watatu wanikunao roho..
Nikianza na...
Sheila E ambaye wengi wanamjua kwa kuwa anakaanga chipsi Prince akipiga mziki kwenye ngoma
Au tu Cindy Blackman ambaye wengi wanamjua tu kwa kuwa anampigia ngoma Lenny Kravitz akaange naye chipsi . DUh Santana kamdaka juzijuzi kiuchumba eti.:-(
Au hebu Me´shell Ndegeocello atekenye bezi tena
Au tu Me´shell Ndegeocello aendelee kwenye bezi na vokoz katika mnyokolisho unikumbushao mbali uitwao -Stay
Au tu atoeshule kama wewe unahusudu kujifunza nanihiii
Au tu niachie tu PIA baadhi ya picha za juzi ya jana...



































































5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Mkuu, salama, naona ulipotea kwa saaaana. Karibu tena
Afadhali umerudi. Karibu tena ulingoni....
Asanteni wajameni!
Duh Bwan'harusi ebwana eeh anasaka nini?
@Mkuu Egdio: nahisi anasaka kidude:-)
Post a Comment