Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuna MPAKA wavaao CHUPI iliyobana kwa KUPENDA wenyewe.:-(

>> Tuesday, July 27, 2010

Kumbuka tu,...
... labda si kila MTU alaye maharage KULA kalazimishwa,....
... wakati NJEGERE zipo.:-(


Kumbuka tu,...
.... na wakati UNASHUGHULIKIA kiharage ambacho hakilengwi  kama sio  sehemu nzima yenye kiharage haikulengwa kuoshwa,...
....labda  tu  SHUGHULI NZIMA ni kwa kuwa uwezo upo.:-(


Swali:
  • Si unajua hata KUJILAZIMISHA kunawezekana kama tu  INAWEZEKANA kujilazimisha?
Kwa kifupi nachojaribu kusema ,....
.....LABDA  kuna wapendao wenyewe kuchomwa na miba.:-(







NI wazo tu hili MHESHIMIWA!

Hebu twende South Afrika ili Soul Brothers watupe hii nyoko ijulikanayo kama -Intokazi




Au tu turudi CONGO ili Pepe Kalle atupe PIA nyoko iitwayo-Roger Milla




Au hebu turudi Nairobi na katikati ya Kenya na Tanzania aka NAMANGA kwa baadhi ya picha za wadau niliowakumbuka...

Photobucket


Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket





Photobucket


Photobucket

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP