Mwendo wa MARINGO hata bila kutingisha tako.....
>> Monday, July 26, 2010
.......LABDA ni matumizi mabaya ya KUTEMBEA.:-(
Swali:
- Umewahi kumuangalia vizuri MTU HATA ASIYE na TAKO LAKUTOSHA atembeaye kwa MARINGO?
- Umeshawahi kumuangalia vizuri MTU aringaye huku ukifikiria ni kwanini anaringa wakati UNAHISI labda chupi YAKE ANGALAU inadoa la mkojo WA JANA na UNAJITAHIDI KUJIZUIA kufikiria labda SWALA hilo LA DOA wala halina undugu na DOA la MAVI?
NI hilo tu na ni wazo tu hili MHESHIMIWA.:-(
Hebu NENEH CHERRY ajaribu kutubadilisha wazo kwa bolingo iitwayo-WOMAN
Au tu Maxi Priest aturudishe maeneo kwa pambio- Dancing MOOD
Au tu na BURNING SPEAR eti naye ajaribu kurudisha shule ya HISTORIA kwa sindimba iitwayo-COLUMBUS
Au hebu ngojea tupitie tu kwenye kicheni pati ya Marianne
Au turudi TU kwenye shughuli ya AIYEKOTO
Na ni kweli kwenye familia ya Mzee Kitururu tuko watano KAMA BABA HAKUZAA NJE au HATAZAA NJE ,...
....na ni wavulana watatu na wasichana wawili kama baadhi nilivyo wadaka Bongo juzi ya jana.:-(
Davie ambaye ni KIFUNGUAMIMBA
Da Nte/Phebe wa pili
Kheri , ambaye ni watatu kuzaliwa
Hapa kuna Joyce aliyejificha Marekani na hakutokea kijiweni
Halafu eti ndio mie watano ambaye eti ni KITINDAMIMBA asiyechana nywele:-(
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment