KISIMI!
>> Sunday, July 25, 2010
Tahadhari: Lugha YA TARALILA HII imekaa uchi!:-(
Kwa kuwa,...
..,,,, kama kuna KISIMI,...
....basi lazima LABDA pia kuna UKE.:-(
Kwa kuwa,...
.... labda astukiaye kinuka mavi INAWEZEKANA sio MIMI,..
.... basi kama kuna astukiaye mpaka UKE basi hicho kitu kinaweza hakikishia MTU duniani LABDA kuna mpaka UUME.:-(Na kama kuna UUME na UKE,..
...basi labda kuna KETE ya MCHEZO ambayo inaweza KUSABABISHA mwenye UKE akumbuke kuna uwezekano UKE unaweza kupewa MPAKA bomba la BINGWA la UUME.:-(
Swali:
- SI unajua KISIMI kama ni mtekenyo kikristo inaweza kuwa ni BOMBA la kitekenya YESU hasa kama faraja ya KIKRISTO nikunogewa na AIDIA za kwenda MBINGUNI?
- SI unajua abughuzikaye na faraja za KISIMI anatatizo la kuwa ni kweli amebarikiwa kuwa ana UKE?
- SI unajua alalamikiaye maharage alikuwa na MAHARAGEla sivyo asinge lalamikia kula MAHARAGE,.... na haki ya nani tena hapa siongelei kiharage?
NI WAZO TU hili liwewesekalo MHESHIMIWA BITOZI na usitishike kama halikupandishi mdadi wa KUELEWA.:-(
Hebu turudi COLOMBIA ili Choc Quib Town
wadunge ndude- Toquemen el Bombo
Au tu turudi NIGERIA ili 2 FACE adonye kitu -FLEX
AU tucheki siku nzima wakati Choc Quib Town wakifanya matusi....
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment