Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Maneno ni YALEYALE ingawa ni kweli MANENO HAYOHAYO kuna wayatumiayo vizuri ZAIDI kutengeneza sentensi nzuri zaidi za KUTONGOZEA.:-(

>> Saturday, July 24, 2010

Swali:

  • SI unajua MANENO ni yaleyale ingawa kuna WATOKAO na BONGE la SENTENSI kuliko WEYE?

NDIO,..

..... UNAWEZA kubisha,...

... lakini labda NENO NI HILO HILO ingawa kuna MTU  MWINGINE  ajuaye kulitumia hilohilo NENO  vizuri katika sentensi ya   kuombea  kumbikumbi , embe ng'ong'o na SENENE kuliko WEYE.:-(



Ndio,...

...na LABDA  mpaka watumiao neno kwenye MAOMBI kwa MUNGU ambayo unaihusudisha,...
...kwa kuwa ni SALA BOMBA yenye MANENO yenye  UNYENYEKEVU uuoanishao na kuomba MUNGU na sio KUOMBA UCHI  ,...

... ukifikiria labda  kisa cha kuipenda ni kwa kuwa inamaneno yatekenyayo MSIKILIZO wako vilevile hasa kwa kuwa  ni MANENO yaleyele ingawa sentensi ilikuwa nyingine wakati sentensi ilihusiana na uombwaji wa sehemu za siri  wakati unashida na SEHEMU ZA SIRI  na ushairi na sentensi bado  ingawa sasa zimetumika katika sala zina kutekenya WEYE.:-(


SWALI:
  • SI unajua kuna uvipendavyo kwa kuwa tu vinakukumbusha uvipendavyo ndio maana labda SALA uipendayo inamirindimo ya sentensi UTONGOZEAZO?

NI wazo tu hili MHESHIMIWA na samahani kama unamchezo wa KUTONIELEWA!:-(

Hebu tumuachie MUTOTO MUDOGO ashughulikie miondoko




Au hebu tupate ndude yenye tako kubwa kutoka kwa Maxi Priest na SHABA iitwayo-House Call




Au tu nimuachie Janelle Monae mdada nimfuatiliaye siku hizi arudishe shughuli katika lawalawa- Many Moons



Ndio NIMEKATA NYWELE:-(

Photobucket


Photobucket



Photobucket


Photobucket

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 9:03 am  

Mtakatifu ulipotea sana taribani miezi miwili... Nini taabu kutufanya watu kukosa uhondo hapa kijiweni kwako?

Bila shaka upo salama.

Karibu tena.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP