Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KULIA ni MUHIMU kweli kama tu KUCHEKA!:-(

>> Wednesday, July 28, 2010

....na labda ni zisizo BUSARA za wahenga zisababishazo ANAYELIALIA kuonekana nishai hasa kama KITENDO HICHO hakifanyiii msibani.:-(


Swali:
  • Ushawahi kujikuta uko msibani halafu huna huzuni kitu kikufanyacho ushindwe KULIA KIMADHUBUTI na matokeo yake uanze kusikiliza watu wanaliaje na katika mkao wakulia wanakunjaje SURA kitu kifanyacho ufanye kazi ya ziada kujizuia kucheka?

  • SI kunauwezekano wengi wakenuao meno labda hawacheki kutoka moyoni kwa kuwa moyo unalia wakati wanajitahidi kufanya JAMII ifikiri wanakuchekea?

  • SI unajua KUKENUA meno labda ni sehemu kiduchu tu ya KUCHEKA?



Tukiachia longolongo hilo,....
.... MHESHIMIWA labda lia tu kama umefanikiwa kujisikia KULIA;...
.... kwa kuwa haki ya nani tena baada ya kulia utajisikia vizuri MKUU.



NI HILO tu MHESHIMIWA , na nakutakia kila la KHERI LEO na ikiwa ni msichana utakaye MTOTO nakutakia kila kheri ili upewe ujauzito leo!

BAADAYE basi BINGWA!
AU?


Hebu Safari Sound Band warudie mkuno-Lala Salama



Au tu Mombasa Roots wanyuke- Mezea tu


Au tu Jean-Claude Naimro atulize



Au tu ngojea Jean-Claude Naimro aendelee tu kunyokolisha

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP