Katika KUJIULIZA MASWALI labda kila MTU ana UPROFESA , ila tatizo liko kwenye kupata MAJIBU!:-(
>> Thursday, July 29, 2010
Na uhusiano wa SWALI na JIBU,....
.... inawezekana sio SWALI na JIBU ikiwa kuna ukweli labda uhusiano wa SWALI na JIBU ni MTU MWENYEWE tu ndiye astukiaye SWALI na anadhani lazima liwe na JIBU.:-(Swali:
- AU?
Na kwa bahati mbaya inawezekana MAJIBU,....
.... kuna mpaka mtu ambaye wakati anafuatilia MASWALI ya gono akajikuta kapata MAJIBU yakuwa ana UKIMWI pia.:-(
Swali:
- Unafikiri UKIKOSA JIBU kukosa kwako JIBU kwenyewe sio JIBU?
Kumbuka,...
....duniani kuna mpaka WATU wasicho kijua na KISICHO WAPA MAJIBU,...
.... wamefanikiwa kukiita MUNGU yote ikiwa ni katika jitihada za MWENYE SWALI kufikiria ni lazima kuwe na JIBU.:-(Swali:
- SI unajua ukiuliza unaweza kupata jibu kuwa hata NG'OMBE usiyemuabudu ni MUNGU katika baadhi ya IMANI na DINI za watu wenye akili tu za kutosha?
NI HILO TU!:-(
Hebu LAGBAJA abadili hali ya hewa kijiweni kwa kushusha AFRO BEAT ambalo halijakaa kitoto liitwalo-Sobolation
Hebu LAGBAJA arudie tu pia mkito -Feyin e
DUH au tu aachie na kitu-Rock me Gentle
Basi bwana labda jifunze tu LAGBAJA ni nani kama muda unakuruhusu::-(
3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
kwali labda
Na unweza ukataka kuuliza swali na kumbe swali huna, kwasababu jibu unalo
@Komandoo Kamala: Labda!:-(
@Emu-three:Hiyo ni kweli tupu.:-(
Post a Comment