Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuna watu KULALAMIKA hiyo ni tabia yao,....

>> Friday, July 30, 2010

..... ndio maana kulalamika BILA SABABU kupo pia.:-(

Na tamutamu ya KULALAMIKA labda ndio siri ya kuzoeao kujisikia kulala kwao,....
..... LABDA ndio maana hukawii kustukia hata KWENYE GAZETI LA UDAKU eti ndani ya siku RAIS na HAUSIGELI wote kunakitu wanalalamikia na eti hicho kidude kinaweza kuwa ni UGUMU WA MAISHA yaleyele ambayo kwa tafsiri ya MAISHA labda ugumu ni sehemu yake na labda hakuna sababu ya kuuulalamikia kama ni siku yako ya kutosikilizia utamu katika maisha kitu ambacho labda ni HALIHALISI YA MAISHA pia.:-(


Swali:
  • SI unajua hata uwe tajiri au MLOKOLE vipi tamu na CHUNGU za maisha bado utakutananazo tu zikipeana zamu?

  • Kwani hujawahikukutana na MTU ambaye KULALAMIKA ni tabia yake na hata UUMPE YOYOTE nanihiii bado atatafuta sababu angalau alalamikie ulivyomgawia KIDUDE?


SAMAHANI nimekutana leo na MTU ambaye kila nikikutananaye kunakitu ANALALAMIKIA.:-(

NIMEACHA topiki MKUU  !

Hebu  The Beatles warudie ndude- DRIVE my CAR



Au tu Bobby McFerrin arudie kukumbusha watu kama unakipaji huhitaji chombo cha mziki kunyokolisha katika ndude-Drive


Au tu Bobby McFerrin arudie kukumbusha -Dont WORRY be HAPPY

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP