Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

PENZI kitovu cha UZEMBE!

>> Saturday, July 24, 2010

Penzi laweza kuwa KITOVU cha UZEMBE,...

.... ikiwa kipimo cha JUHUDI  sio kuendekeza PENZI.:-(


Kwa atafsiriye JUHUDI kwa jinsi WATU wanavyo chuma MAEMBE,...
.... JUHUDI zako HATA  za kuchekelea wajanja kwa KUWAKENULIA MENO KATIKA KUJIPENDEKEZA kwa kuwa wao kwako ni WAJANJA zinaweza kutostukiwa tu juhudi za aendaye haja kubwa vizuri kimaridadi zisivyostukiwa  na BINADAMU washabiki tokea ENZI.:-(





Swali:
  • AU?

Juhudi  ZA MWENYE JUHUDI zaaliyependa ZAWEZA KUKOSEA kwa  kulenga PENZI,....
.... na alengaye  PENZI  wakati wengine walengacho kuangalia sio PENZI  ,....
....kwa wengine PAMOJA na KUWA MSIBANI KWA KULA ANAJUHUDI , anaweza tu KUONEKANA mzembe.:-(

NI WAZO TU HILI MKUU!:-(


Hebu tuendelee na Gregory  Isaacs katika- Confirm Reservation




Au tu Gregory Isaacs alete pia na-  Cool Down the Pace




Naacha baadhi ya Picha za Morogoro

Photobucket



Photobucket




Photobucket




Photobucket



Photobucket




Photobucket






Photobucket



Photobucket



Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket





Photobucket



Photobucket




Photobucket



Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket





Photobucket




Photobucket



Photobucket





Photobucket




Photobucket




Photobucket





Photobucket



Photobucket


Photobucket




Photobucket



Photobucket



Photobucket

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:22 pm  

Karibu tena katika ulimwengu huu wa kublog. Umikuwa umepotea na sasa naamini umerudi na upo nasi tumekumiss. Na asante kwa taswira hizo kutoka huko mji usio maji.:-)

John Mwaipopo 3:25 pm  

picha bomba kweli ila hiyo 'unayopooza koo' ni kali zaidi.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP