Kama unachukulia ISHU ni UJINGA,...... .... unaweza usiwaelewe AU KUWASTUKIA wenye akili nyingi kwenye hiyo ISHU.
Na wakati unachukulia jambo ni TUSI,... ..... unaweza kuanza kukwepa mpaka kutaja majina ya vipengele vya mwili kwa kuamini mpaka majina ya viungo vyako ni MATUSI.
HABARI ndio hiyo MHESHIMIWA!:-(
Swali:
Si unakumbuka inategemea tu na mtazamo wako ili swala HILOHILO liitwe ni tendo la ndoa, kufanya uasherati , uroda au tu libadilike na kuitwa ni kufanya matusi?
Si unakumbuka uheshimiwa ni staili tu ya mhusika anayeheshimiwa kutoonyesha awezayo yasiyoheshimiwa?
Kwake bitozi CHANSI zenyewe za kugawiwa kidude adimu,... .... hata kabla hana pesa za kununulia KONDOMU.
Ingawa wenye KIDUDE sio adimu,... ... wakupandishao mdadi wanaringa na wale wagawao kama pipi waweza jikuta umeghairi na umenunulia chipsi mayai ile pesa uliyopanga kununulia KONDOMU.
Na BITOZI akiwa na uhakika atapewa hata kama ni kwa kuwa kahakikishiwa uso kwa uso na sio kwa simu,.... ... kwa kawaida aliyekubaliwa ndio kichwa chake cha chini huaanza kufanya MPAKA za kazi ya kichwa cha juu chenye ubongo, NA ghafla anaweza jikuta akionyeshwa tobo anadumbukiza bila hata kuivalisha pembejeo KONDOMU.
Na BITOZI wakati akipapo KICHWA CHA JUU hatamu hata kama kwa kujifanya bitozi hilo ni adimu,... ...ghafla anastukia ang'ang'aniacho apewe CHENYEWE kwa kawaida hunuka, kina sura mbaya na LABDA hakistahili hata kufikiriwa achilia mbali kuvuliwa chupi, eti hufikiriwa mpaka KIMFANYE MTU akinunulie mpaka na KONDOMU!:-(
Lakini kama UNACHEZA , cheza taratibu kwa kuwa juisi ya chungwa inaweza ikawa imeingia ndimu,... .... na kumbuka kwakuwa tako limevalishwa kibwaya , kama nia nikuficha uchi, bila chupi ENEO LIKO WAZI na laweza mpaka kupapaswa na inzi kwa kuwa ULINZI WA KIBWAYA hauzuii hata mende , sisimizi ,wala nyuki na hapa sizungumzii KONDOMU.
DUH NAACHA wazo!
Swali:
SI unakumbuka aliyegundua kondomu pamoja na kuwa alikuwa anafikiria zaidi lakini ukweli uko palepale kuwa pamoja na UGUNDUZI alikuwa anachofikiria ni ngono?
Si unakumbuka kuna UKIMWI na kama tu bahari ilivyo kuwa na PAPA waogopwao na humo humo na dagaa washibishao wamo?
Ngojea DOROTHY MASUKA abadili kwa kitu-Teya TEYA
Au tu twende tena Nigeria 2FACE IDIBIA azungumzie ya-African QUEEN Read more...
Inasemekana VINYWELEO hata mpaka vya mwenye mchezo wakujinyonyoa,.... ...pamoja na vingine shughuli yake ni mpaka kuwa MGAMBO WA PUA , kumbuka tu shughuli hasa ya KINYWELEO ni kutoa JASHO.
Na hata uvipige kalikiti vinyweleo katika staili ya kukwepa kuvinyoa,... ....au tu uachie LAVU GADENI iote rasta , wajipotezea muda kama juhudi zako zinakusahaulisha kuwa shughuli kuu ya vinyweleo si kupendezesha sehemu za siri , bali ni kutoa JASHO!
Na vinyweleo kama ni siasa ya nchi havina usawa, na kama mbishi vipime ukivinyoa,... ....na cha ajabu , WAWEZA GUNDUA vile virefu vikusababishiavyo UNUKE KIKWAPA , vile virefu vya chini kidogo ya kitovu viletavyo bughuza wakati hutumii eneo kukojoa, vile virefu vya wachache wenye kuota nywele mpaka kwenye chuchu na vile vifupi vya mgongoni au juu kidogo ya tako, havitofautiani KITU kama kipimo ni kuangalia ujazo wa vilivyochangia unuke JASHO.
Swali:
Unakumbuka kukumbuka urefu wa nywelenywele au ufupi wa nyweleo bado hauongezei nywele shughuli?
Ni hilo tu na NI WAZO TU MHESHIMIWA usitishike! JUMATATU NJEMA KIJEBA au wewe SHUGA DADA!
Ngojea THE DRAMATICS waimbe wimbo wa Billy Paul umzungumziaye aonjaye mke wa mtu-ME and MRS JONES
Au tu CLUB FOR FIVE warudie kwa staili ya acapella wimbo wa Eurythmics-Sweet Dreams Read more...
[Tahadhari:Inawezekana ni BUSARA usijiulize AU KUSOMA HII TARALILA kama hujawahi kuwa na hamu za wakubwa KIKUBWA!:-(]
Hivi kama wewe ni MLOKOLE unafikiri ulokole wako hautokani na kuzidiwa ya UKRISTO wako nyege iLiyozidi ya tibabu la MWENYE NYEGE kunyegeleshwa nyege za hata U- BUDDHA au tu mpaka ya U-isilamu wako utokeao UKITEKENYWA eneo la juu kidogo au chini KIDOGO YA NANIHII hasa wakati hata hujafikiria kuupigia kelele ushindi wa KATIKATI ya kipengele kushughulikia au kushughulikiwa ya uchi hasa ambao kwa waheshimiwa waujuao ni uchi NAO hawataki tuuite uchi kama tunataka tujulikane kama WAHESHIMIWA kama vile hatujui waupendao uchi hatuwafikirii MDADI wao hatuufikirii uko kama labda WANADHANi wakibobea ya uchi labda WANA UDINI na dini yako ni ya DINI ya UCHI?
Unafikiri mkiwa wawili katikati ya shughuli zenu za kuguna wakati mnatibu zenu nyege, unafikiri wote wawili tukiwalazimisha mchore nyege zenu, picha zenu za NYEGE YA ugali wa muhogo hazitatofautiana kama TU ZILE za uji wa unga wa sembe na ZILE za MBATATA MBOGA, mboga ambayo ikiguniwa huguniwa na mwenye KITHEMBE hata kama mwenye kithebe ni MPARE na anakithembe na huwa kwa kawaida KATIKA KUGUNIA SHUGHULI hasumbuliwi na KITHEMBE?
Unauhakika hata kama wewe ni MGUNAJI huwa unajisikiliza wakati unagunia SHUGHULI?
NIMEACHA WAZO na NI ni wazo tu KISHTOBE na usitishike weye AMBAYE tusingekuwa na aibu tungekuita MALAYA WA KIUME pamoja na wako UHESHIMIWA:-(
Samahani wakati nimeacha NGOJEA TUSAIDIWE KUBADILI HILI WAZO KWA KWENDA TENA AFRIKA KUSINI ili Malaika waongelee tena -2BOB
Au tu MAFIKIZOLO waongelee tena -NISIXOSHELANI Read more...
[Tahadhari: Stori hii ni ya kuwasuta wenye kisu wale wanoao kukipendezesha KISU bila kustukia kisu kikinolewa ni kwa ajili yakutumika kama PEMBEJEO.:-(]
Umuhimu wa kikojoleo,....
.... ni kama kinatumika KUKOJOLEA.:-(
Na kama unakirembesha kisichotumika kikojoleo,....
....hicho hakina MANUFAA kama ISHU ni kukojoa hata kama hakuna KITU unachonuia KUKIKOJOLEA.
Kwa kuwa kama nia ni kujua upungufu wa CHUMVI au tu unataka kujua CHUMVI ipo chumvini leo,....
.... usipotumia kilambia asali ,KWENYE mwanga adimu BILA KULAMBA na kilambio, wawezafikiri UTOKO au usaha ni ASALI katika mbuyu , KWA KUWA VYOTE VYAWEZA KUWA ni mbuyu UNAVILEA.:-(
Samahani NALIKATIZIA HILI WAZO HAPA Mheshimiwa!
Swali:
Umenakshi PEMBEJEO?
Ushawahi kukumbuka kuwa kisu butu bado huwa kinakata uyoga?
KWELI TENA Nimeacha hili wazo na NOA TU usiyotumia PEMBEJEO kama ndio UPENDACHO! Mimi sikukatazi, kwa kuwa labda staili yako ya kufarijika au chako KITULIZA MSHAWASHA wako wa YA MUHOGO ni kuangalia MUHOGO ULIONOLEWA MAGAMBA nasio TUMIZI la MUHOGO kuzibulia au kuzibuliwa !:-( JUMAMOSI NJEMA Mkuu!:-(
Ngojea tumsikilize tena Miss Elliot akumbushie -She's a Bitch
Au nimuachie tu Samim alete-Heater
Naziweka tena HIZI Picha zifuatazo ingawa zote ziko humu humu bloguni KWAKUWA kuna WATU kama MUZEE wa CHANGAMOTO a.k.a MUBELWA BANDIO na wale wengine wananiuliza kitu cha enzi kifichuliwacho na PICHA.....:-(
[Tahadhari: Stori hii haina uhusiano na MKOJO!:-(]
Kwa kawaida KINUKA MKOJO akishazoea kunukia PAFYUMU,... ...hujifanya kasahau kuwa alikuwa ananuka MKOJO.:-(
Na kwa kawaida KINUKA MKOJO idaiwaye ni MSTAAFU anukiaye manukato siku hizi akikutana na KINUKA MKOJO bikra hujifanya ANAFYUMU,... .... na anaweza mpaka afanye watu wote wamstukie ANUKAYE MKOJO/WAPAFYUMU BIKIRA mpaka utafikiri yeye mwenyewe anakojoa PEPSI TU siku hizi wakati ni rahisi yake KUYAJUA hata bila kumuona akienda haja, HASA kwa kuwa siku hizi yeye ni mvivu wa kufua mwenyewe na WAMFULIAO CHUPI ZAKE hawana siri ya kuwa KWA KAWAIDA chupi yake HUWA ina bomba za DOA ZINUKAZO za AINA MBILI na ziko sehemu mbili ,na moja linukalo zaidi huwa si DOA la MKOJO:-(
Na usishangae, ni kawaida mchango wako kusahaulika na KINUKA MKOJO baada ya kujulia PAFYUMU,... .... na ushauri ni kwamba HATA KAMA HUJAWAHI KUWA KINUKA MKOJO jihadhari na KINUKA MKOJO MSTAAFU anayejifanya kasahau alikuwa ananuka MKOJO!.
Kumbuka lakini kwa kawaida KINUKA mkojo wakati ananukia ya mkojo PAFYUMU,... ... pua HUWA inazoea hayo manukato ya mkojo na kama UKITAKA KUMSAMEHE kwa kunuka kumbuka ni kawaida kwa aliyeizoea harufu anaweza asisitukie ananuka HATA ikiwa anukacho ni MKOJO na akigundua watu walikuwa wanajua ananuka MKOJO hujitahidi hata akibanwa haja ndogo HUJITAHIDI angalau kutembea kama kabanwa na USHUZI ilitu kuepuka tusijue mwendo wake unauhusiano na MKOJO!:-(
DUH nalikatiza wazo!:
Lakini MASWALI mchanganyiko kiduchu:
Unauhakika naongelea nini?
Unajua KWA WAKUANGALIAO ni vigumu kuwaficha kuwa umebanwa na mkojo kwa kujaribu kujifanya unazuia ushuzi?
Unakumbuka anukaye kikwapa hukizoea kikwapa na wasumbukao ni wengine na sio mwenye kikwapa?
Ushawahi kukutana na tajiri MPYA atakayekujaribu kufanya watu wasistukie juzijuzi alikuwa MASIKINI?
Unakumbuka waishio karibu na JALALA LINUKALO huzoea harufu ya jalala na ni wageni watesekao na harufu ya jalala?
Unakumbuka msemo wa TENDA WEMA wa kumfunza mtu KUPIGA MSWAKI uende zako usingoje shukurani AKIACHA KUNUKA MDOMO na meno yanang'aa?
Unafikiri ni wajanja wangapi wanakumbuka aliyewafunza UJANJA?
NAACHA wazo MHESHIMIWA na nakutakia Ijumaa na WIKIENDI KIBONGE!
Hebu tushangalie tena kidogo kifaa watumiacho siku hizi wasichana KUKOJOA wamesimama kijulikanacho kama-GO GIRL
Au tu twende CUBA Celia Cruz alete tena -Quimbara
Au twende tu NigeriaP-Square waombe-DO ME Read more...
...watafiti watakwambia kuna WASIKIKAO wakicheka peke yao bafuni na mpaka watoao MILIO ya ajabu iliyozoeleka chooni ,BILA kuisahau na milio iliyozoeleka kusikiwa kukiwa na zaidi ya mtu mmoja WAKATI WA FARAGHA chumbani, na ndio yuko peke yake bafuni lakini usishangae, ANAJISAIDIA.
Kumbuka,... ...inasemekana siri nyingi AFAZONAZO MAREHEMU aliyekuwa ni mke au mme wa MTU,...
... zilikuwa ni siri mpaka kwa ndugu ,jamaa, mpenzi hawala na kimada. Na hata kama kuna chumba KIJUACHO SIRI ZA WATU ZAIDI ndani ya NYUMBA ,afadhali choo hujua karibu sawa na bafu. Na hapa HATA tukiruka siri ya mheshimiwa ya kulamba makamasi kwa siri , INASEMEKANA SIRI nyingi binafsi hufanyika, sitaki kurudia kulitaja BAFU bali angalau kumbuka SI wakati ule mtu kakuaga au katangazia UMATI anakwenda KUJISAIDIA.
DUH!
Swali:
Unabisha?
NIMEACHA wazo NJONJOLINJO Mheshimiwa na USITISHIKE NI WAZO TU!!:-(
Hebu twende Italy waziri mkuu Silvio Belusconi ambaye ndio tajiri kuliko wote ITALIA aonyeshe bado Kahawa kwa kamasi RUKSA!....
Au tu twende TanzaniaBI KIDUDE &Culture Musical Club waongee kitu..
Au tu UB 40 nao waendelee kutuliza na kitu-Adella Read more...