Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KWA mpendwa APENDAYE KUNAKSHI asiyoitumia PEMBEJEO!

>> Saturday, September 05, 2009

[Tahadhari: Stori hii ni ya kuwasuta wenye kisu wale wanoao kukipendezesha KISU bila kustukia kisu kikinolewa ni kwa ajili yakutumika kama PEMBEJEO.:-(]

Umuhimu wa kikojoleo,....
.... ni kama kinatumika KUKOJOLEA.:-(


Na kama unakirembesha kisichotumika kikojoleo,....
....hicho hakina MANUFAA kama ISHU ni kukojoa hata kama hakuna KITU unachonuia KUKIKOJOLEA.



Kwa kuwa kama nia ni kujua upungufu wa CHUMVI au tu unataka kujua CHUMVI ipo chumvini leo,....
.... usipotumia kilambia asali ,KWENYE mwanga adimu BILA KULAMBA na kilambio, wawezafikiri UTOKO au usaha ni ASALI katika mbuyu , KWA KUWA VYOTE VYAWEZA KUWA ni mbuyu UNAVILEA.:-(

Samahani NALIKATIZIA HILI WAZO HAPA Mheshimiwa!

Swali:
  • Umenakshi PEMBEJEO?
  • Ushawahi kukumbuka kuwa kisu butu bado huwa kinakata uyoga?
KWELI TENA Nimeacha hili wazo na NOA TU usiyotumia PEMBEJEO kama ndio UPENDACHO!
Mimi sikukatazi, kwa kuwa labda staili yako ya kufarijika au chako KITULIZA MSHAWASHA wako wa YA MUHOGO ni kuangalia MUHOGO ULIONOLEWA MAGAMBA nasio TUMIZI la MUHOGO kuzibulia au kuzibuliwa !:-(
JUMAMOSI NJEMA Mkuu!:-(


Ngojea tumsikilize tena Miss Elliot akumbushie -She's a Bitch



Au nimuachie tu Samim alete-Heater








Naziweka tena HIZI Picha zifuatazo ingawa zote ziko humu humu bloguni KWAKUWA kuna WATU kama MUZEE wa CHANGAMOTO a.k.a MUBELWA BANDIO na wale wengine wananiuliza kitu cha enzi kifichuliwacho na PICHA.....:-(

Kwa kifupi hii ni historia yangu!



Utotoz na mzaziz
Powered by beta.joggle.com


Utotoz kabla sijajua matumizi zaidi ya kikojoleo

Powered by beta.joggle.com




Enzi za uvejeteriani na ....
Powered by beta.joggle.com




Enzi za....
Powered by beta.joggle.com


Bwenini Mwenge na Papa KUSIRIE na Godwin MAbagala ,Mazengo High
Powered by beta.joggle.com




Enzi za usaniii 1992-95 Kuanzia Hip HOp mpaka Community based Theatre, Tanzania mjini , vijijini na Ulaya
Powered by beta.joggle.com


Nakadhalika...


Powered by beta.joggle.com


Nakadhalika....
Powered by beta.joggle.com



Nakadhalika kadhaa..
Powered by beta.joggle.com


Nakadhalika kiduchu....
Powered by beta.joggle.com



Kwa kifupi Habari ndio hiyo!:-(

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:42 pm  

Namshukuru Mzee wa Changamoto nami nimefaidi. inaonyesha katika picha ulikuwa mtundu kweli:-)

Mzee wa Changamoto 4:22 pm  

Hahahahaaaaaaaaaaaa.
Nimeona umekaa juu ya kifarasi. Namuona Uncle Kimbuteh na Pompidou. Dah!! Umenirejesha mbaali. Na kadhalikas zoote zimenogesha mambo.
Oooops! Nimeweka kommenttia kwenye picha badala ya mada. Hivi ni mada ama mafundisho?
Naacha NIKISHUKURU

Fadhy Mtanga 7:48 pm  

Mnatisha mazee, life inasonga, Jide si alisema siku hazigandi?

PASSION4FASHION.TZ 11:08 pm  

Kaka Simon,wewe hutamani kuwa malaika? nimependa sana picha zile ulizokuwa malaika ulikuwa kaa sweet!nice picture kwa ujumla zimependeza,watu tunatoka mbali jamani.

Simon Kitururu 6:39 pm  

Asanteni wote HASA kwa sentensi zenu MWANANA zinihusuzo !Zimefanikiwa kutekenya eneo:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP