Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Jamani JAMANI jamani LEO MIE MWENZIO najisikia vibaya JAMANI![sentensi hii imebaniwa pua na Shuga Dada!:-(]

>> Friday, September 25, 2009

[Tahadhari:Wazo limepindia kushoto zaidi kidogo ya kulia!:-(]

Kujisikia vibaya bomba la nishai,...
...halafu kwa ushenzi wake hata ulipate kubwa zima utastukia HICHO KITU halijui vizuri kusimulia.:-(

Na kwa kujisikia vibaya waweza kujisikia mpaka kutapika ilivyokuwa nishai,...
... halafu KITU cha ajabu labda hata jinsi TU mtu ajisikiavyo kichefuchefu hakuna awezaye vizuri kukisimulia.:-(

Swali:

  • Unabisha?
  • Unadhani kuna watu wawili wajisikiao kichefuchefu sawasawa?
  • Ushawahi kumsikia mtu awezaye kuelezea ajisikiavyo vibaya akaeleweka bila kufafanua?
  • Kwani WEYE unajua jinsi ya kusimulia unavyojisikia vizuri au ndio weye ukisikia tamu watwambia unajisikia vizuri ?
  • Hivi kama wewe ni mpenda chai ya sukari unajua KWELI kusimulia utamu wa chai isiyokuwa na sukari?LIONE VILE!

NI WAZO TU MHISHIMIWA usiye BWANYENYE na NIMEACHA wazo Mkuu!

Nakutakia SHIBE ya KILA la KHERI na CHOO CHAKE Ijumaa na WIKIENDI HII!


Mie naanza lakini hebu turudi Afrika kidogo pale CAPE VERDE tena tukutane na Bi MKUBWA CESARIA EVORA alete tena kitu-ANGOLA



AU turudi kwa Mhaiti WyClef Jean ft Mary J Blige watukumbushe zilipendwa katika kidude-911

7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Koero Mkundi 7:14 am  

HIZI NDIZO HEKAYA ZA NABII SIMON MKODO KITURURU ZA KUBANIWA PUA......LOOOL!!!!!

Simon Kitururu 10:23 am  

@Dada Koero: :-)

Yasinta Ngonyani 11:00 am  

Jamani jamani Simon Eti kubaniwa pua iyo kali:-(

MARKUS MPANGALA 11:17 am  

nakunukuu 'hivi wewe mpenda chai isiyo na sukari'.... lol hapa sina nyongeza UNABISHA?

Faith S Hilary 1:50 am  

Hehehehe kazi kweli kweli...kila mtu na kila nanihii...sijui nini ila ndio ninihii yake...lol...sidhani kama sote tunahisi the same way...get it?

nyahbingi worrior. 7:13 pm  

the wise shall listen man.

Simon Kitururu 4:40 pm  

@WOTE: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP