Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Nipe kidogo KABABU nichangamshie ya SAMBUSA nyege[Samahani: katika sentensi ondoa nyege na weka neno Damu]!:-(

>> Sunday, September 06, 2009

[Tahadhari:Inawezekana ni BUSARA usijiulize AU KUSOMA HII TARALILA kama hujawahi kuwa na hamu za wakubwa KIKUBWA!:-(]




  • Hivi kama wewe ni MLOKOLE unafikiri ulokole wako hautokani na kuzidiwa ya UKRISTO wako nyege iLiyozidi ya tibabu la MWENYE NYEGE kunyegeleshwa nyege za hata U- BUDDHA au tu mpaka ya U-isilamu wako utokeao UKITEKENYWA eneo la juu kidogo au chini KIDOGO YA NANIHII hasa wakati hata hujafikiria kuupigia kelele ushindi wa KATIKATI ya kipengele kushughulikia au kushughulikiwa ya uchi hasa ambao kwa waheshimiwa waujuao ni uchi NAO hawataki tuuite uchi kama tunataka tujulikane kama WAHESHIMIWA kama vile hatujui waupendao uchi hatuwafikirii MDADI wao hatuufikirii uko kama labda WANADHANi wakibobea ya uchi labda WANA UDINI na dini yako ni ya DINI ya UCHI?

  • Unafikiri mkiwa wawili katikati ya shughuli zenu za kuguna wakati mnatibu zenu nyege, unafikiri wote wawili tukiwalazimisha mchore nyege zenu, picha zenu za NYEGE YA ugali wa muhogo hazitatofautiana kama TU ZILE za uji wa unga wa sembe na ZILE za MBATATA MBOGA, mboga ambayo ikiguniwa huguniwa na mwenye KITHEMBE hata kama mwenye kithebe ni MPARE na anakithembe na huwa kwa kawaida KATIKA KUGUNIA SHUGHULI hasumbuliwi na KITHEMBE?
  • Unauhakika hata kama wewe ni MGUNAJI huwa unajisikiliza wakati unagunia SHUGHULI?


NIMEACHA WAZO na NI ni wazo tu KISHTOBE na usitishike weye AMBAYE tusingekuwa na aibu tungekuita MALAYA WA KIUME pamoja na wako UHESHIMIWA:-(


Samahani wakati nimeacha NGOJEA TUSAIDIWE KUBADILI HILI WAZO KWA KWENDA TENA AFRIKA KUSINI ili Malaika waongelee tena -2BOB


Au tu MAFIKIZOLO waongelee tena -NISIXOSHELANI

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

EDWIN NDAKI (EDO) 3:00 pm  

Huyu ndio anaitwa muheshimiwa mstahiki meya wa jiji la Helsinki ambao Watanzania wanaoishi hapo kiwango chao cha soko kinazidi kufa na kupeleka juzi tumewafunga 2-1.

Tutafika tu kitururu..mi naelekea Passion si unapaelewa vema..sasa kama wewe unaenda Chelsea au HAVANA ..kazi kwako siku njema

TUTAFIKA TU

Faith S Hilary 11:53 pm  

lol. Nikija humu I am sure I am going to work my mind na vile vile nitacheka nitake nisitake. Na kama humu mtu atakuwa offended (by whatever they think of) then humu sio kwao kabisa. I seriously love being around here. lol

Simon Kitururu 7:42 am  

@EDO:Vijana wa Tampere baada ya kuanza kushinda basi hamkawii kutunyanyasa maveterani!:-)

@Candy1: Nashukuru sikuboi!Karibu tena na tena na tena!:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP