Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuhusu POOZEO!

>> Tuesday, September 29, 2009

Poozeo,....
......hupooza njaa KWA KUIWA ingawa WAKATI LINALIWA huwa halichukuliwi kama ni kikuu CHAKULA.

Na hata ubishe kuna wahalalishao matumizi ya poozeo,....
....ingawa mahitaji hayo yanaweza yakaletwa na uvivu wa kuhangaikia chakula kikuu kiive au tamaa NA SIO LAZIMA ni kweli hukimbilii kula msosi mkuu kwa kuwa kimeshachacha kwa kuwa ni cha zamani kikuu CHAKULA.

Na waliohamasishika na poozeo,...
.... hudai wakijisikia vibaya huhamasishika na nyumbani kula kwa juhudi kikuu CHAKULA!.



Ingawa kuna ambao baada ya kupooza na poozeo,...
...inazidi kusikitisha kwa kuwa husahau kula KABISAAA NYUMBANI ingawa nyumbani kimeiva na tayari kimeandaliwa CHAKULA!:-(

Kumbuka kisaikolojia waweza kuathirika na poozeo,...
....NA hata kama kwa vitendo umekwepa kufikia KUPOZA bado laweza kufanya matatizo yako binafsi ya Limke, Limme, Limchumba au watoto na ndugu ,mtu ufikiriaye anakuelewa NA UMSIMULIAYE YAKUSIBUYO ni poozeo ingawa hahusiki hata katika swala la kwanini hunogewi na kikuu CHAKULA.:-(

Lakini wapo ambao wanahitaji kikuu chakula na pia poozeo,...
...kwa kuwa wanadai utamu wa poozeo unaletwa na kujua ukitaka tena hata tu kwa kujisikia vibaya unaweza ukajikuta UNACHAKUFANANISHIA UTAMU au TU unanguvu sana baada ya KUPOZA na poozeo, kula cha nyumbani kikuu CHAKULA.:-(

Swali:
  • Unafikiri kimada kama aina moja ya POOZEO huwa anavutia vilevile KIMNOGO akishakuvunjia ndoa?
  • Hivi umestukia kuwa takwimu zinadai ni asilimia kubwa ya walioko kwenye ndoa ndio wapatao kwa wingi magonjwa ya zinaa kwa msaada wa poozeo?

NI wazo TU MUUNGWANA na LABDA sikuongelei wewe!:-(

Hebu Vybz Kartel abadili kwa kitu- Imagine



Au jikumbushe muda sio mrefu uliopita kabla ya Obama baadhi ya Wamarekani WEUSI walipofikia ki self-esteem kwa kumsikiliza Blowfly akiku-Funk YOU[Tahadhari:Sio video yako kama ni mtoto na msikilizaji wa LYRICS na kama muungwana unaweza kukwazika au kama unatabia nzuri jua tu aimbacho asilimia kubwa ni matusi na sikushauri usikilize!:-(]

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

chib 6:40 pm  

Leo naona ....... kazi kweeeeeli

Simon Kitururu 1:26 am  

@Mkuu CHIB: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP