Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Labda jinsi unavyoichukulia ishu ndio ISHU YENYEWE!

>> Monday, September 07, 2009

Kama unachukulia ISHU ni UJINGA,......
.... unaweza usiwaelewe AU KUWASTUKIA wenye akili nyingi kwenye hiyo ISHU.

Na wakati unachukulia jambo ni TUSI,...
..... unaweza kuanza kukwepa mpaka kutaja majina ya vipengele vya mwili kwa kuamini mpaka majina ya viungo vyako ni MATUSI.


HABARI ndio hiyo MHESHIMIWA!:-(

Swali:
  • Si unakumbuka inategemea tu na mtazamo wako ili swala HILOHILO liitwe ni tendo la ndoa, kufanya uasherati , uroda au tu libadilike na kuitwa ni kufanya matusi?
  • Si unakumbuka uheshimiwa ni staili tu ya mhusika anayeheshimiwa kutoonyesha awezayo yasiyoheshimiwa?
  • Unakumbuka kujiheshimu kukizidi hugeuka unafiki?

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP