Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Matatizo ya BITOZI kabla hajaghairi kutumia KONDOMU!:-(

>> Monday, September 07, 2009

[Tahadhari: Wazo limepinda!:-(]


Kwake bitozi CHANSI zenyewe za kugawiwa kidude adimu,...
.... hata kabla hana pesa za kununulia KONDOMU.

Ingawa wenye KIDUDE sio adimu,...
... wakupandishao mdadi wanaringa na wale wagawao kama pipi waweza jikuta umeghairi na umenunulia chipsi mayai ile pesa uliyopanga kununulia KONDOMU.


Na BITOZI akiwa na uhakika atapewa hata kama ni kwa kuwa kahakikishiwa uso kwa uso na sio kwa simu,....
... kwa kawaida aliyekubaliwa ndio kichwa chake cha chini huaanza kufanya MPAKA za kazi ya kichwa cha juu chenye ubongo, NA ghafla anaweza jikuta akionyeshwa tobo anadumbukiza bila hata kuivalisha pembejeo KONDOMU.


Na BITOZI wakati akipapo KICHWA CHA JUU hatamu hata kama kwa kujifanya bitozi hilo ni adimu,...
...ghafla anastukia ang'ang'aniacho apewe CHENYEWE kwa kawaida hunuka, kina sura mbaya na LABDA hakistahili hata kufikiriwa achilia mbali kuvuliwa chupi, eti hufikiriwa mpaka KIMFANYE MTU akinunulie mpaka na KONDOMU!:-(


Lakini kama UNACHEZA , cheza taratibu kwa kuwa juisi ya chungwa inaweza ikawa imeingia ndimu,...
.... na kumbuka kwakuwa tako limevalishwa kibwaya , kama nia nikuficha uchi, bila chupi ENEO LIKO WAZI na laweza mpaka kupapaswa na inzi kwa kuwa ULINZI WA KIBWAYA hauzuii hata mende , sisimizi ,wala nyuki na hapa sizungumzii KONDOMU.


DUH NAACHA wazo!
Swali:
  • SI unakumbuka aliyegundua kondomu pamoja na kuwa alikuwa anafikiria zaidi lakini ukweli uko palepale kuwa pamoja na UGUNDUZI alikuwa anachofikiria ni ngono?
  • Si unakumbuka kuna UKIMWI na kama tu bahari ilivyo kuwa na PAPA waogopwao na humo humo na dagaa washibishao wamo?
Ngojea DOROTHY MASUKA abadili kwa kitu-Teya TEYA



Au tu twende tena Nigeria 2FACE IDIBIA azungumzie ya-African QUEEN

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP