Nukuu za leo NI kutoka kwa Idi Amini Dada!
>> Tuesday, September 01, 2009
“I am the hero of Africa.”
[Mi bomba la mtu Afrika]
“You cannot run faster than a bullet.”
[Kijeba ukitoka baruti huwezi shindana na mkuku wa risasi]
“If we knew the meaning to everything that is happening to us, then there would be no meaning.”
[Kama tungestukia maana za kila nanihii zitunanihizo , nanihii zingekuwa hazina maana]
“In any country there must be people who have to die. They are the sacrifices any nation has to make to achieve law and order.”
[Katika kila nchi lazima wawepo ambao itabidi waachie ngazi.Hao ndio kafara ya kusababisha nchi itulize mcheche]
“Sometimes people mistake the way I talk for what I am thinking.”
{Kuna wakati kuna mtu huchanganya jinsi navyolonga na kufikiri ndivyo navyo kuna kichwa]

Ni Idi Amin Dada quotes mie nimetafsiri tu kwa kiswahili fasaha cha mtaani kwetu.
Nukuu zote ni kutoka HAPA
Au ngojea tushangalie hii picha .....

AU tu twende Kenya Les Wanyika wakumbushie tena -DUNIA KIGEUGEU
5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Ha ha haa, na kweli ni tafsiri ya kiswahili cha kwetu.
Duh!
@Mkuu CHIB: :-)
@Dada Yasinta: :-(
Sasa hawa jamaa hata internet wameipanga kama ukiuliza kitu kibaya cha weupe bado inagoma na kukurudisha kwa ngozi nyeusi, hakyanani naweza kukata mtu upanga wa jino!
@Mkuu Chib: Kaazi kwelikweli!:-(
Post a Comment