Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

kwa mara nyingine; ''BWANA ASIFIWE!!''

>> Wednesday, September 30, 2009

[Tahadhari: Wazo limepinda kiasi hasa kama wewe ni Mkristo!:-(]


Kibinadamu sina uhakika na nafasi katika changamoto UMUHIMU ichukuayo SIFA,...
.....ingawa nastukia MIMTU inavyojisikia vizuri na kuridhika kwa kuwa IMESIFIWA.

Na Libinadamu kwa kupenda SIFA,...
.... labda kweli hata kwa kulidanganya linahitaji KUSIFIWA.:-(


Lakini nasita kuunganisha ya MUNGU na SIFA,....
....kwa kuwa kama ndiye aliyeumba vyote mpaka hiyo sifa na ndiye ampaye mtu nguvu ya kusifia,SONA UHAKIKA kama naye anahitaji kweli kutoka kwa Binadamu wanyao na kubanja KUSIFIWA.:-(

Sipingi wafuatao maandishi ya vya kwao vitabu vitakatifu ambavyo kwa tafsiri zao Mwenyezi inabidi umpe SIFA,....
.... lakini basi kunauwezekano umuhimu wa sifa ni mkubwa sana hata kwa Binadamu kwa Limtu ikiwa kama tukiachana na ya mtu kwa limtu, kwa Wakristo mpaka BWANA anahitaji KUSIFIWA!:-(


NI WAZO tu MHESHIMIWA Muungwana na HAKI YA NANI TENA SIJARIBU kuingilia IMANI YAKO KABAMBE!

SWALI:

  • Unafikiri WAKRISTO wengi wasalimianao mara kibao ''BWANA ASIFIWE!''huwa hawamaanishi tu kwa tafsiri fulani'' Kijeba Mambo!'' ?

  • Unauhakika lakini kweli BWANA anahitaji kusifiwa?


NIMEACHA na samahani kama NIMEKUKWAZA kinjonjoli MHESHIMIWA na ukipenda niombee IMANI IKUE!


Hebu basi twende Kenya ili Enomizizi and The Rarewatts watusaidie kubadili hali ya hewa KIJIWENI kwa kumzungumzia tena kwa miondoko ya CHAKACHA-BABA MANYORA


Au tu tubaki hapa hapa Kenya katika miondoko hiyo hiyo ya CHAKACHA Safari Sound Band warudie tena kitu chao-Mama lea mtoto wangu

8 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Faith S Hilary 3:06 am  

Hahahahahhaha, mimi kama mkristo..nimeishia kucheka tu! Hasa quoting "Unafikiri WAKRISTO wengi wasalimianao mara kibao ''BWANA ASIFIWE!''huwa hawamaanishi tu kwa tafsiri fulani'' Kijeba Mambo!'' ?"

Gosh that made my day!

Chacha Wambura 10:02 am  

Mt Simon, katika sala moja ya wakristo inasema hivi...'sifa zetu kwako (sir god na sio simon..lol) hazikuongezei kitu bali zinatufaa sisi (limtu as you put it...lol) kuweza kujinyenyekesha kwako saidi....

Kwa hiyo kweli yawezekana ikawa ni 'kijeba mambo

Chacha Wambura 10:02 am  

Mt Simon, katika sala moja ya wakristo inasema hivi...'sifa zetu kwako (sir god na sio simon..lol) hazikuongezei kitu bali zinatufaa sisi (limtu as you put it...lol) kuweza kujinyenyekesha kwako saidi....

Kwa hiyo kweli yawezekana ikawa ni 'kijeba mambo

Yasinta Ngonyani 3:12 pm  

mama leo mtoto wangu imenipeleka mbali kama vile kucheza lizombe hata hiyo baba manyora safi sana ....LOL

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa 9:07 am  

jamaaa yanahangaika kumsifu bwana.

bwana asifiweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeennnn

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa 9:08 am  

jamaaa yanahangaika kumsifu bwana.

bwana asifiweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeennnn

Simon Kitururu 2:19 pm  

@Wote: DUH!:-)

Anonymous 2:00 am  

You have to express more your opinion to attract more readers, because just a video or plain text without any personal approach is not that valuable. But it is just form my point of view

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP