Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tangazo/UJUMBE kwa WATANZANIA ambao ghafla wamejikuta wanaondoa ujinga, wanaishi au wamelowea FINLAND!

>> Monday, September 28, 2009

Hello kaka,

Mambo vipi,
sasa ile network ya watanzania waishio Finland iko hewani rasmi.
Anuani ni:

http://www.bongosurprise.com/wabongosuomi

Please sign up, pia fahamisha na wadau wengine ili libeneke lianze.

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:16 pm  

Duh!:-(

chib 3:48 pm  

Yaonekana Dada Yasinta kanuna baada ya ujumbe wako kuanza na Hello Kaka, ati we mbaguzi!

Tutaipitia hiyo website, usiwe na shaka bro.

Simon Kitururu 3:36 pm  

@Dada Yasinta: :-(
@Mkuu CHIB: Huo Ujumbe sikuuandika mimi na mimi ndio nilivyotumiwa!

chib 6:42 pm  

:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP