Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati MZEE WA KUCHEMKA kwa harakaharaka anadhani ni wengine WANACHEMKA!:-(

>> Monday, September 14, 2009

[Tahadhari: Wazo limepinda na linadalili za matusi!:-(]

Mchemkaji,....
.... kama humjui , basi kwa kawaida ni yule adhaniaye wengine WANACHEMKA!

Na akosoaye wanenguaji,...
... kwa kawaida ni yule asiye na uhakika na kwaliti ya unenguaji wake NDIO MAANA KAKUBUHU KWA KUKOSOA WANENGUAJI wengine wa LONGIDO. NA kajengeka hiyo tabia KWA KUJISTUKIA MWENYEWE KUWA hata katika ule unenguaji WAKE afanyao kalala chali , UNGEKUWA huhakiki tamutamu nyingine katika tamu wakati unanenguliwa UNGESTUKIA wakati MKOSOA WANENGUAJI anakunengulia,sio kiuno chake tu bali hata SINGIDA-DODOMA YAKE IMEKAKAMAA na angenengua kasimama kuna uwezekano mkubwa kodinesheni hana na ANGEANGUKA.

Na mkaguzi usafi katika ukaguaji,...
...huwa anatumia uzoefu wake wa KUWA MCHAFU kukagua zaidi USAFI kule alikozoea kukuchafua au alikokuacha nyumbani kwake kwa uchafu na KUNANUKA na sio tu kwa BAGIA iliooza na baada ya kuchemshwa IMECHEMKA.:-(


Ngojea NIJARIBU kulainisha hii hoja nyoko;

Nachojaribu kusema, kama wewe ni mfuatiliaji,...
....tuliza boli BASI na utastukia sifa nyingine ni tusi na KUWA akutukanaye hakutukani mpaka wewe mwenyewe uamue hilo ni tusi ingawa tusi KAMA WEWE SIO MCHEMKAJI UTASTUKIA KUWA, tusi KARIBU MARA ZOTE HUWA haliui na kama wewe jasiri UKITUKANWA unaweza tu kustukia badala ya kufinywa na MAHEITA ,umetekenywa na UKACHEKA!

Swali:
  • Unauhakika na usahihi wa vigezo vikufanyavyo ufikirie ni wengine akina Mtakatifu Simon Kitururu ndio wachemkao na sio wewe unayechemka?
  • Hivi unafikiri mchemkaji huwa hapangi kuchemka au mkasirikaji hachagui wakumkasirikia hasa kibonde kwa kumkwepa ajuaye kusuta sana au mwenye misuli na mijinguvu kama simba ili akwepe KUSUTWA au KUBUNDWA?

NI hilo tu Mheshimiwa MWANAMBILIMBI na NIMEACHA wazo!


Ngojea tupate African Banjo katika kubadili hali ya hewa


AU ngojea SIMPLE SIMON abadili kwa kitu- Heng down YUH HEAD


Au tu SIMPLE SIMON akumbushie tena-Obey YUH Madda & YUH FADDA


Nabadili hali ya wewa zaidi hapa KIJIWENI kwa kuweka baadhi ya picha zangu za kijiwe cha KANISANI katika SPIRITI ya kukuuliza:

  • Hivi umegundua kuna binadamu kibao wanafikiri WACHA MUNGU ni bomba kuliko wengine walimwengu kama vile hawajastuki wanafiki na UNAFIKI wa wajifanyao kusahau mipaka ya ubinadamu katika kufanywa na mdhaifu BINADAMU wawezayo zaidi Malaika na sio BINADAMU?

  • Hivi unakumbuka inasemekana shetani alikuwa ni malaika wa Mungu aliyeshindwa kuvumilia ya Mbinguni pamoja na uzuri wote wa ya mbinguni ya MUNGU?

  • Hivi unakumbuka SEHEMU ZA DINI ni sehemu nzuri kweli za kutafutia wachumba wasioenda baa , klabu au tu wale wenye UDHAIFU wa kuamini WACHA MUNGU ni BOMBA ZAIDI kuliko walimwengu wengine kiasi kwamba kama huna aibu unaweza kutumia kirahisi mpaka KITABU CHA DINI/BIBLIA/KORANI/ NAKADHALIKA....., kuwatongozea?:-(
  • Kwani hujastukia waabudu shetani hutumia pia VITABU vijulikanavyo ni VYA MUNGU kukudanganya au kikaa vibaya kukusomea hata albadili na hiyo ni baada yakukujua udhaifu wako wa kuhusu ya MUNGU?

[Ndio bado huwa na kwenda kanisani na msikitini na bado nasoma BIBLIA , KORANI ingawa pia bado sijaacha kusoma KAMASUTRA na......!:-(]

Basi ngojea ni achie hizi baadhi za picha zangu na washikaji za kijiwe cha kanisani ambako mambo ni JUISI , kekikeki,kahawa, chai , HALELUYAH ZA KUTOSHA na mwiko KILAJI a.k.a POMBE.....:-(


Photobucket

Photobucket


Photobucket




Photobucket



Photobucket



Photobucket




Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket


Photobucket



Photobucket





NIMEACHA MKUBWA!

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 4:35 pm  

Sijui hapa nisema Simon mtakatifu au Simon tu:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP