Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Sema MUZEE wa KUPANIKI!

>> Wednesday, September 09, 2009

[Tahadhari : Unaruhusiwa kutoelewa hii TARALIRA!]


Duniani hakuna JIPYA,...
...mambo yote kimtindo yalishafanyika na wengine NA mara kedekede ni weye unayapa tu UPYA kwa KUPANIKI.:-(


Na ukituliza boli utastukia MTUMBA wakati unachagua JIPYA,....
.... tena kirahiiiiisi kama unasukuma mlevi vile au kama VILE TU utakaye kumpa neno kakubali kuja kwenye yako PIKINIKI.

Kumbuka kama wewe ni king'ang'anizi wa MAPYA,....
.... hutastukia kirahisi THAMANI ya OLD is GOLD katika ya thamani iitwayo siku hizi ANTIKI.

Lakini bado si JIPYA,...
....ni ruksa tu kama moja ya starehe ikusababishayo ujisikie UKO HAI ni jinsi UPYA WA MTEKENYO ENEO, ukufanyavyo UPANIKI:-(


Ni hilo tu Mheshimiwa Muzee wa KUPANIKI na ni WAZO tu USIPANIKI!:-(

Ngojea CHarlie Chaplin alainishe tena kwa -Table Ballet



AU tu ngojea Nina Simone arudishe usiriasinesi katika kitu -SinnerMAN

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 4:51 pm  

Simon:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP