Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

DINI nzuri kweli UKICHACHA!:-(

>> Sunday, September 27, 2009

Swali:

  • Kwani ulifikiri matumizi ya dini ni kupeleka tu watu mbinguni?



Dini tamu kwa kuwa mambo ya kidini,...
..... ni ya KIROHO na hayanunuliki hata katika soko mjinga.

Na kama unauziwa dini,...
.... jiulize na tafakari kama katika jedwali KUUZIWA mambo ya DINI na ukanunua hakuna ujinga.

Na matatizo ukubwa yakizidi kiboko ni dini,...
... kwa kuwa haikawii kukushawishi yote ni mipango ya Mungu ingawa alikupa akili na wajua kunayafanyikayo duniani kijinga.

Ukichacha na kama unafuata dini,...
.... inasemekana kwa imani yako waweza kujifariji angalau umeshiba na WEYE NI tajiri kiroho.

Swali:
  • Hujastukia kuwa matatizo yakizidi imani inakua?
  • Kwani hujui kwenda kanisani au msikitini ni bei poa kuliko kwenda baa au disko au kununua malaya?

  • Kwani pamoja na yote mazuri yaletwayo na dini hujawahi kustukia dini inasaidia kweli kuhalalisha kurahisisha bajeti hasa ukichacha?

NI wazo tu MHESHIMIWA!

Ngojea Will Smith abadili hali ya hewa kwa kibao -Switch



Au tu Vybz Kartel ft Spice wazungumzie-Ramping Shop


Asanteni TENA wadau wote mkiwemo MadICe, Nester, Ray na wangine wote ambao baadhi mpo kwenye picha hizi nilizozidaka juzi ya Jana.....


Photobucket


Photobucket



Photobucket



Photobucket




Photobucket









Photobucket




Photobucket

Photobucket

Photobucket





Photobucket



Photobucket



Photobucket


Photobucket



Photobucket



Photobucket


Photobucket


Photobucket





Photobucket


Photobucket




Photobucket



Photobucket


Photobucket







Photobucket

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:51 pm  

Kaka Simon hapa katika picha hii ulikuwa unawaza nini? maana naona uko mbaliiiii......

Simon Kitururu 3:29 pm  

Nilikuwa nafikiria kidude!:-(

Yasinta Ngonyani 4:32 pm  

Mmmmmmh!! eti nilikuwa nafikiria kidude kaziii kwelikweli.

Fadhy Mtanga 5:35 pm  

Kidude! Lakini ukichacha utawaza dini!

Simon Kitururu 8:06 pm  

@Papaa Fadhy: Si utani! Ila nasikia kuna dhambi ambayo ukiifanya makusudi halafu wewe ni Mkristo Husamehewi Kikristo inabidi ubadili dini ili kama mpango bado ni kwenda Mbinguni!:-(
@Dada Mpenzi Yasinta: Kidude kinafikirisha kama hujui!:-(

Faith S Hilary 11:55 pm  

Recession watu wanafurika huku makanisani kaka Simon...nacheka mpaka basi..ngoja pakae sawa...watu jumapili watakuwa na HANGOVER instead of coming to church as usual...kazi kweli kweli...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP