Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati aitwaye MWALIMU anakusahihishia aliokupa MTIHANI!

>> Tuesday, September 08, 2009

NI mtihani kusahihisha MTIHANI!

Na wakati kuna eneo tu ambalo hulengwa na mtihani,...
....kumbuka tu labda eneo kubwa ambalo ni muhimu MAISHANI kwako kwa kawaida huwa haliguswi na maswali yaliyoko kwenye MTIHANI.

Na kusahihisha mtihani,...
....hakuweki wazi mapungufu ya huo MTIHANI.

Na msahihishaji mtihani,....
.... kama sio muangalifu anaweza kusahau kuwa anaweza kufeli akitungiwa MTIHANI na amsahihishiaye MTIHANI.


NI HILO TU!


Ngojea tujifunze tena ORGASMIC BIRTH hata kama kuhusu hili hatutapewa MTIHANI!....:-(



Au ngojea tu Mr Pregnant alie tena katika -Big Girls don't cry

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 7:59 am  

Mtakatifu Simioni hivi mwalimu unadhani kila mtihani awapao wenzake yeye anaumudu? Angekuwa anaumudu asingekuwa anadokolezea kwenye marking scheme.

Simon Kitururu 10:35 am  

@Papaa Fadhy: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP