Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Umewahi KUSHINDWA KUJIZUIA kufikiria MSENGE anapataje UHAKIKA kuwa yeye ni msenge na ni kweli kwa uhakika YEYE sio BASHA?

>> Monday, September 14, 2009

[Tahadhari a.k.a WARNING: Wazo limepinda na linadalili ya matusi kama AKILI za msomaji zinafikiria baadhi ya mambo duniani ni matusi . Kwa hiyo kama unamchezo wa KUKWAZIKA sikushauri unisome katika hoja na wazo hili nyoko!:-(]







Kutafuta UHAKIKA,....
.... ndio moja ya KITU kifanyacho binadamu wafanye mengi wafanyayo bila UHAKIKA!:-(


Na binadamu wengi WAMEBADILI MPAKA ZAO DINI za UHAKIKA,...
.... au tu mpaka WAMEONJWA na KUONJA VISIVYOTAKIWA KUONJWA kwa sababu tu wanatafuta tu kuhakikisha kwa UHAKIKA!:-(

Na wengi waendao kazini hawapendi kazi zao NAUHAKIKA,...
...ila wanataka tu kuwa na uhakika watapata mshahara ili wawe na pesa za kulipia kodi, kununulia chakula au wawe tu na pesa tayari ZA KUCHUNWA BUZI ingawa bado hawana UHAKIKA wampendaye ni CHUNA BUZI KIKWELI au anachuna buzi kwa mazoea YA BAHATI MBAYA tu na ni kweli kwa uhakika ni sura kama KIKWAPA walilonalo isababishayo CHUNA BUZI anawapenda kwa dhati na sio kwa kuwa anajua wanapesa na bado WANACHUNIKA KAMA BUZI kwa UHAKIKA.

Na kutafuta UHAKIKA,....
...ndiko kusababishako MACHO yatumiwe chuchu KUCHUNGULIA,..
... na ingawa chuchu imeshaonwa bado MIKONO itatumiwa ili chuchu IPAPASWE,.....
...na ingawa chuchu imeonwa naimeshapapaswa, bado bila ya aibu ingawa inajulikana haina ladha mpaka na wengine ULIMI watatumia ili chuchu IONJWE katika miondoko ya kunyonya,...
.... na yote HIYO ni katika TU kutafuta kujua KWA UHAKIKA kufanyako MPAKA bado aliyeona mavi NA ajuaye aina zote za mavi, BADO ATUMIE PUA kunusa ili tu ahakikishe ni kweli ni mavi kwa UHAKIKA!:-(


Ngojea nirudishe hoja karibu na kichwa cha habari chenye neno MSENGE:

Swali:

  • Kwani unafikiri ilibidi MPAKA UJARIBU KITU ili uwe na uhakika wewe sio Msenge?
  • Unauhakika Basha anauhakika sio Msenge?

  • Labda huna-uhakika utaenda Mbinguni ingawa unafuata dini zipelekazo watu mbinguni, lakini kwani unauhakika huna roho mbaya?
  • Unauhakika naongelea nini hapa?LIONE VILE!



NIMEACHA WAZO MHESHIMIWA na kumbuka hili ni wazo tu hata kama huna UHAKIKA naongelea nini!


Ngojea LUPE FIASCO abadili hali ya hewa kwa kuongelea- BOTTOM TOP



AU tu JEREMIH abadili tena zaidi hali ya hewa kijiweni hapa kwa kuzungumzia-Birthday Sex

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP