Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

LIONE VILE lilivyonuna!:-(

>> Monday, September 07, 2009

[Tahadhari: Nakuongelea wewe kama hujui, hasa katika siku ununiazo shughuli!:-(]

Lione KUBWA ZIMA LIMENUNA halafu ZUUUURIIII!

Swali:
  • Unajua kuna wavutiwao na wewe zaidi hasa wakibahatika kukuona wakati umenuna!
  • Ushawahi kujiangalia kwenye kioo WAKATI UMENUNA ukaona unavyochekesha ukinuna?

Usinune basi!
Ikibidi pata MERRY KRISMASI kiduchu basi mwanakwetu!



Bado TU umenuna?
.


Basi bwana ngojea tu turudi Gabon Oliver Ngoma atusimulie ya...-Nge

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 7:47 pm  

Kama kawa mkuu hiyo Oliver Ngouma imentoa kinzishe!

Simon Kitururu 3:21 am  

@Askofu Fadhy:Nahusudu kweli kazi za Oliver !Asante Mkuu kwa kutochoka kuja hapa kijiweni kunisabahi!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP