Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Labda kunahitajika WALIMU WA CHEKECHEA mpaka MAPROFESA WA UMALAYA Tanzania!

>> Thursday, September 10, 2009

[Tahadhari: Wazo limepinda!]

Sitanii!:-(

Soma historia utagundua,...
.... PROFESHENI ya kwanza DUNIANI ilikuwa ni UMALAYA!

Na tembelea SHULE ZA VIDUDU mpaka VYUO VIKUU utagundua,...
.... PROFESHENI iliyoneemea kwenye JAMII isiyoandaliwa au kujengewa misingi ya kuboreshwa ni UMALAYA.


Tembea MITAANI au humohumo mavyuoni utagundua,....
.... wanafunzi na walimu wenyewe ndio wafanyao umalaya au ndio waongozao katika kutibu mahitaji yao ya mcheuo mkubwa kwa MALAYA.

NDIO!Dini na kasumba za jamii tokea enzi za wajanja akina YESU ziligundua,...
... kuna kitu kiko kushoto ya kulia au kina kasoro tu katika UMALAYA.

Cha ajabu utagundua,...
....hizo dini na jamii zinapiga vita ilioshindikana ya KUFUTA UMALAYA kwa silaha zilezile za kung'ong'ea vita wakati vita ni kipofu , NA wakati labda tatizo si kufuta UMALAYA bali ni jinsi ya KUONDOA MAPUNGUFU na KASORO kwa kumuandaa malaya kuboresha AANDAAVYO DHALI na apakuavyo ili asiwe ana kasoro ANGALAU katika mbenjuo wa KIMALAYA.

Hata ubishe CHUNGUZA utagundua,...
.... wengi watumiao cha malaya kifuko cha dhambarau au tu ya malaya pipi kijiti, si kwamba hawana mke,mme, LIMPENZI au limchumba tu nyumbani. Na kumbuka tu MALAYA wapo kwa kuwa HATA KAMA SIO WEWE mhitaji ,[wink!:-(] wapo mpaka wajulikanao MAJUMBANI kama WASWAHILINA au WALOKOLE ambao MTAANI ndio wahitajio huduma za kupakuliwa UMALAYA na MALAYA ki-MALAYA.:-(

Swali:

  • Unafikiri kungekuwa na shule au CHUO cha UMALAYA kusingepunguza magonjwa yaenezwayo na MALAYA kwa kuwa waheshimiwa wenye WAO NYUMBANI wale waonjao kwa adoado nje wangependelea kutumia huduma za wenye PHD za UMALAYA na kukwepa waliopata ZIRO katika somo hili muhimu la kubenjua KIMALAYA?

  • Kwani wewe unafikiri UMALAYA baada ya kupigwa vita maelfu ya miaka kwa njia zile zile ndio utaisha kesho kwa kuwa kuna UKIMWI wakati gono na Kaswende kabla haijagundulika dawa vilisha ua zaidi ya UKIMWI sasa hivi na UMALAYA haukuisha?
  • Au bado wewe ndio yule uaminiye dawa ni dini wakati dini zenyewe zishafikia mamilioni na nyingine zinaendekeza UMALAYA?


  • Bado unanibishia hakuhitajiki Profesa wa UMALAYA na Malaya mwenye PHD ya UMALAYA?

NI wazo tu Mheshimiwa USITISHIKE !
SIKU NJEMA MHESHIMIWA na nakutakia uangalifu HASA kama leo umechoka tena ya KILA SIKU CHAI NA MAANDAZI na unataka KUBADILI kwa kuonja VITUMBUA vya kulipia!

Ngojea twende KONGO Barbara Kanam abadili kwa kitu- Jardin d'Amour



Au tubaki tu hapahapa CONGO Jessy Matador aje na - Coupe Decale - Gwada

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP