Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati MIMI sio MSHABIKI WAKO lakini ni MSHABIKI wa MSHABIKI WAKO!

>> Thursday, September 10, 2009

DUnia ni mduara,....
.... na wakati UNAMCHUKIA Mtume Mohamedi na kudai unampenda Yesu,.....

....unaweza kukuta KUMBE ulichoshindwa kustukia ni kwamba Yesu umpendaye ni mshabiki na anamhusudu Mohamedi.


Swali:
  • Kwani hujastukia unaweza ukawa unachukia SINDIMBA na kupenda muziki wa mwanamuziki fulani wa BONGO FLEVA ambaye bila wewe kujua YEYE NI YULE apendaye nakupata aidia za libongo fleva lake kwenye SINDIMBA?
  • Si unakumbuka pamoja na njonjoli zote za wakristo na waislamu kukerana lakini Mtume Mohamedi hamkandii Yesu na hakuna palipoandikwa kwenye biblia Yesu anamuona Mohamedi Nishai?

NI hilo tu na NI WAZO MBILIKIMO tu MHESHIMIWA!
Samahani kwa kuwachanganya Yesu na Mtume Mohamedi katika hoja kama HUKUELEWA NAONGELEA NINI na umekwazika KINJONJOLI!:-(

Tupumzike kwa kujifunza kujichubua ngozi kutoka kwa wataalamu India



Hebu basi Los Lonely Boys watukumbushe tena kuhusu mbinguni katika kitu-HEAVEN




Au tu John Lee Hooker abluzifai akiwa na SANTANA tena katika kitu -Chill OUT msela

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP