Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

WALEVI na UZURI!

>> Thursday, September 17, 2009

JINSI unavyozidi kulewa,....
.... ndivyo mbaya azidivyo UZURI!

:-(
Swali:
  • Kwani hujui hilo?
  • Si unakumbuka pia JINSI unavyozidi KUAMINI ndio DINI YAKO izidivyo kuleta MAANA?

NI HILO TU!

Hebu tubadili kwa kuingia shule kujifunza tena kitu katika VIPENGELE VYA MWILI WA BINADAMU.
[Tahadhari: Kama ni mtoto au Muzee wa kukwazika usiangalie video zinazofuata]


Tupate basi elimu ya jinsi kipengele cha nyuma kinavyokaguliwa na Dakitari
-Rectal exam


Kama una muda unaweza kuangalia JINSI kipengele cha mbele cha mwanaume kinavyo kaguliwa na daktari-Male genitalia examination



Unaweza tu pia kujifunza kipengele cha kike a.k.a kidude -Vagina Exam

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 5:05 pm  

Kama kawa mkuu, tupo pamoja! Imetulia hiyo.

Yasinta Ngonyani 8:37 pm  

Simon jamni:-(, :-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP