Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Unafikiri ni kweli UNAFANANA NA PICHA ZAKO unazozipenda?

>> Tuesday, September 15, 2009

Watu hukwepa hali halisi,...
.... na halihalisi inaweza kuwa ni sura nyembamba halafu BOMBA LA PUA!


Na kwa kuwa unatetesi ya nini ni hali halisi,...
.... katika kukwepa kudhihirishia umati kuwa NI KWELI ulichokuwanacho si mwanya BALI ni bonge la PENGO ,wawezakujikuta uchaguapo picha utakazo UMMA ukutambuenazo MAPOZI YAKO ni yakukwepa KUCHEKELEA KANYAU kwa kujifanya unapenda mapozi ya kununia hata kivuli kama vile kina JOTO LA JUA.



Na ni kweli hali halisi,....
.....pamoja na mengine yote kama ya KUTOPENDEZA KWA UHALISI wa MUONEKANO wa USO KWA USO, inaweza pia ikawa INANUKA KIKWAPA badala ya kunukia kama UA.:-(

Swali:
  • AU?
  • Kwani unataka kusema hujastukia watu wengi hawafanani na picha zao wanazokuonyesha ukikutananao uso kwa uso?

NI HILO TU weye MHESHIMIWA utuonyeshaye PICHA NZURI !

Hebu tuiangalie AFRIKA idaiwavyo na baadhi ya watu inavyofanana katika picha...-The Africa They Never Show You.

Au tu STING na CRAIG DAVID wabadili kwa kitu-RISE&FALL

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

chib 6:34 pm  

Nimecheka!!

Simon Kitururu 1:23 am  

@Mkuu CHIB: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP