Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Unafikiri wakati unananihii huwa ni kweli UNANANIHII, au UNANANILIWA?

>> Monday, August 31, 2009

Kuna WANANILIWA ukiongea nao ,...
......utagundua wanafikiri WANANANIHII!:-(
Swali:
  • Unafikiri wakati Rais wa Tanzania anaomba UGENINI huwa anakumbuka kuwa awaombao wali KOMBA na kwa kuomba anawahakikishia watazidi kukomba?
  • Unakumbuka KWA KAWAIDA umuombaye akakupa hahitaji kukuomba kabla hujafikiria kumpanulia hata kabla hajalilia?

NI hilo tu na ni WAZO TU Papaa MUZEE au tu wewe SHUGA DADA!
JUMATATU NJEMA lakini Mheshimiwa!


Twende tena Trinidad kupata CHUTNEY MUSIC kutoka kwa Chris Garcia katika kitu- Chutney Bacchanal


Au tubakie tu Trinidad tupate SOCA MUSIC kutoka kwa David Rudder katika kitu- Trini Tuh D' Bone

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:53 pm  

Kaka Simon:-(

shamim a.k.a Zeze 9:33 am  

Mh Simon we ,mtoto wa Ngakuka Morosex!! ....hizo nanilii ambazo huwa wananiniliana unafikiri we utaweza kunanilia?

....nilipita hapa

Simon Kitururu 11:16 am  

@Yasinta: :-(

@Shamim: :-)Karibu tena !

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP