Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

WAKATI unaendelea KUJAZIA SIKU shughuli!

>> Sunday, August 16, 2009

Ndani ya siku,...

.... ufanyayo ya muhimu ukifikiria sana ni machache na YANAHESABIKA!

Na uchache wa ya YA MUHIMU kwa siku,...
.... mengineyo siku ikiendelea ingawa uliyaanza vizuri labda nayo YAMESHAHARIBIKA!


Lakini hatuwezi kusikitikia tu ya siku,....
... ya mwezi na mwaka yanamkusanyiko wake wa usaha au asali hata kama kwa yaliyonyoka baada ya muda mrefu kuna siku yalikuwa YAMEPINDIKA.

Na labda uko kwenye zako siku,...
....lakini kumbuka kwa wenye mahitaji ya leo hata kama utachelewesha nanihii UTASAMEHEWA SIKU UKITIBU lakini kumbuka bado leo UNAHITAJIKA!:-(


Na shughuli ni nyingi ndani ya siku,...
... lakini bado ukweli ni uleule kuwa labda vya leo ulivyofanya katika yote cha muhimu ulichofanikisha ni KULA, KUNYA na kama ni mlalamishi angalau umefikiria cha muhimu kama hata sio HIKI NIANDIKACHO basi KINGINE katika YOTE ya katika kuchambua NI nini ukilenge hata baadaye wakati UKILALAMIKA!


DUH!
Naacha na NI WAZO TU kumbuka MHESHIMIWA !

JuMApili njEMA KInguNGE!

Swali:
  • Hivi ushawahi kufikiria kuwa labda udhaniacho ni cha muhimu labda ndio sio cha MUHIMU?
  • Unafikiri kuna BINADAMU ALIYEWEZA kujaza SIKU?

Ngojea tumtembelee dada Speech DEBELLE atutonye ya-The KEY


AU tu KRS1 aongelee tena ya URAFIKI katika kitu-A FRIEND


AU tu Lil Wayne adharaulishe watu katika- Lollipop

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:56 pm  

Jumapili njema Simon Na uwe na siku njema ya mwisho wa wiki.

Fadhy Mtanga 7:35 pm  

Mtakatifu Simon nawe watakiwa Jumapili kingunge!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP