Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

WAkati binadamu wanaendelea kumsingizia shetani VITU!

>> Wednesday, August 19, 2009

Kuna mambo binadamu anaharibu mwenyewe kibinadamu na LABDA wala shetani hausiki!

Na kuna mambo binadamu hahitaji baraka za Mungu kufanikisha, na LABDA ndio maana kuna wafanikishao mpaka umalaya , wizi, mauaji na ...... na kwa hayo labda MUNGU wala hausiki!


Swali:

  • Au?
  • Unauhakika kwa nini bado unaweza kukosea wakati unaamini Mungu na MUNGU yupo?

Ni wazo tu KINGUNGE na nakutakia siku KIBONGE!




Hebu TUENDELEE KUFIKIRISHWA kwa kumuangalia tena Saddam Hussein kabla HAJAUAWA NA WAHESHIMIWA , ambaye ni baadhi ya binadamu wachache waliofanikiwa KABLA YA KUFA kujua ni muda gani watakufa



AU ngojea JAGGED EDGE walainishe katika- Walk out of Heaven


Au tu tena JAGGED EDGE warudie wimbo huuhuuu- Walk out of Heaven katika hiii remix

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:51 am  

Simon kazi kwelikweli:-(

chib 4:21 pm  

Umenikumbusha mbali Mkuu, Saddam!!

Simon Kitururu 10:01 pm  

@Dada Yasinta: :-(
@Mkuu CHIB: Siku zinakwenda kimchezo mchezo na muda si mrefu wengi duniani watakuwa wanamjua Saddam kupitia kwenye vitabu vya historia tu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP