Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika KUOMBA umeshastukia kuna wasahauo wakiomba kikojoleo, WAOMBACHO kweli ni KIKOJOLEO?

>> Monday, August 31, 2009

[Tahadhari: Sina uhakika na maudhui ya taralila hii!:-(]

Wakati kiombwacho hutumika kukojolea,...
.......labda ukikiomba kwa kutaka kufaidisha MADHARA mengine kama ya kujaza chupi, bado ulichoomba kuna uwezekano mkubwa BADO ni KIKOJOLEO!

NDIO!
Tunaweza tukabishana hapa kuhusu kitu cha mende kwa kuwa hujaona wake mkojo kwahiyo sio kikojoleo,...
... lakini LABDA bado inawezekana atakaye kiti AJARIBUCHO KUSEMA ni anataka kipumzikio cha tako ingawa labda KILICHO CHOKA si tako na wala si KIKOJOLEO.:-(

Ndio!


Na inadaiwa kuna apataye ujauzito akikojolewa kwenye kikojoleo,...
...ingawa kuna mimba au hata UKIMWI uzawadishwao na vikojoleo, ingawa mara nyingi kwenye sentesi zihusuzo hayo ziwakilizwasho na WAHESHIMIA huwa zinakwepa kugusia HILO au TU ni kweli mpaka na gono na kaswende huzawadiwa NA hata urembesheje hoja, BADO msingi wa yako hoja wakati unapongeza hata waliopata mtotot U, huwa unachopongeza ni UJEMEDARI wa vyao VIKIKOJOLEO.


Na hata woga wa kwenda JEHANAMU labda ni kama tu kikojoleo,...
... kwa kuwa unawafanya watu KATIKA KUJIPENDEKEZA KWA MUNGU wadai wanapenda dini na utakatifu wakati wanacho maanisha wala sio kupenda dini bali NI woga wa kufa na kwenda jehanamu kifanyacho waogope kutangazia umati kuwa WANAJIPENDEKEZA TU KWA MUNGU HATA WASIYEMUONA NA KUMUELEWA kwa KUWA waogopacho ni kuonekana hawafai katika jamii IAMINIYO ukifa utaenda SEHEMU FULANI ingawa hujui NI WAPI ndio maa na unajiita tu MWANA DINI na wafikiri Mungu ni bomba au ili tufikiri unafikiri MUNGU NI BOMBA ingawa labda wakati huo una tamaa KEDEKEDE za matumizi ya KITOBO na unaogopa kutumia TOBO kwa kuwa dini na ya MUNGU yanamasharti hasa katika swala zima la kutumia tundu mbalo hutumika kukojolea pia kwa hiyo bila aibu nitaliita KIKOJOLEO

KUMBUKA tu kuna watu kwa kukuambia WANAKUPENDA kuna uwezekano wanajaribu kukuambia wanataka kukitumia chako KIKOJOLEO!:-(
Swali:
  • Unauhakika hapa sija tukana kweli?:-(
  • Unauhakika tusi huwa halimaanishi tu usichotaka au jamii isichotaka kusikia?

NALIKATIZIA WAZO hapa ila kumbuka HILI NI WAZO TU Mkubwa!

Ngojea Third World waongelee kuhusu ya -Now that we found love


Au tu Aswad warudie-54-46 was my number

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP