Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

WAKATI UNACHUNGULIWA!

>> Saturday, August 15, 2009

Kumbuka,...
... kama unachakuonyesha ,...
na unauhakika na upendavyo kilivyonuna unaweza mpaka ukakibenjua makusudi katika staili ya kukionyesha kama unajua UNACHUNGULIWA!

Kumbuka,...
...NDIO!Labda kuna kitu hutaki kukionyesha,...
...lakini moja ya sababu ya kutotaka kuonyesha ni jinsi utafsirivyo tu MUKICHWA maana yake nini ukituonyesha KITU CHAKO ambacho labda ni KIZURI KULIKO CHETU ndio isababishayo ukasirike au kuona aibu ukistukia UMECHUNGULIWA!


Kumbuka,...
... ukipewa sababu za kuonyesha,...
...kuna kitu utatubenjulia tukiangalie vizuri wakati kabla ya kupewa sentensi kadhaa ungeona aibu wakati unakikagua ukastukia UMECHUNGULIWA!


Kumbuka,...
...vingi ufikiriavyo unavionyesha,...
....kumbuka wengi watazamao hata bila kuchungulia huwa hawavioni na hata kama nia ni kuonyesha CHUCHU kuna uwezekano hata TITI halistukiwi INGAWA KIFUA KIKO WAZI wakati huo na hapa siongelei wakati UNACHUNGULIWA!:-(


Swali:

  • Unafikiri hata barabarani ni mangapi yaliyo wazi huwa unayastukia na kuyaona?

  • Unajua ni kweli asilimia kubwa ya wachunguliao hawaoni kitu na wakiona hawajakiona vizuri kidude?

  • Unajua wengi hata unao ongea nao uso kwa uso huwa hawakuangalii?


NI wazo tu na UNARUHUSIWA KUNIBISHIA KINGUNGE!

Hebu tupumzike kwa kwenda CANADA kumuangalia BINTI mheshimiwa wa KiMAREKANI kwa jina AMY G aonyeshe kipaji katika-The special and sexy talent of Amy G(TAHADHARI: Usiangalie kama mtoto au ni MZEE WA KUKWAZIKA kwa kuwa ni ujinga afanyacho kwa tafsiri fulani)



AU tu PAM HALL alete ustaarabu tena katika kitu-Late at NIGHT



Au tu MIRIAM MAKEBA alete kitu kiitwacho-POLE MZEE



2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 9:42 pm  

Simon:-( Ok!Asante sana kwa mziki hasa huu mwimbo wa pole mzee

Fadhy Mtanga 10:15 pm  

We acha tu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP