Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MTU muhimu!

>> Friday, August 28, 2009

Kuna uwezekano unahitaji kujisikia MUHIMU na mtu MUHIMU kwako ni yule akupaye nafasi au sababu za kujisikia wewe MUHIMU.


Na labda kuna kitu unahitaji na UMUHIMU WA MTU kwako sio huyo MTU bali ni KILE KITU mtu akupacho ambacho ndio kwako kina U- MUHIMU!


KWA HIYO labda huna MTU MUHIMU KWAKO na UMUHIMU WA MTU kwako ni yako tu MAHITAJI mtu akupatiayo udhaniayo ni MUHIMU!

Ndio !
Labda umuhimu wa ndugu, WAZAZI, limchumba, poozeo, SHEKHE, mchungaji, PADRE, malaya,......
...... umuhimu wake ni kama tu ASPRINI au KWININI kama kutibu swala NI MUHIMU ingawa hapa swala lenyewe sio ugonjwa ila katika kusikilizia UTU WAKO kama MTU lina UMUHIMU!

Kumbuka tu hata jambo lisilo muhimu laweza geuka kwako kuwa muhimu UKILIPA UMUHIMU!


Swali:

  • AU?

Ni wazo tu MHESHIMIWA na nakutakia SIKU NJEMA!


Ngojea Jean Knight amzungumzie-Mr Big Stuff


Au tu Kaysha adai kastukia-Somethin' is going on

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

EDWIN NDAKI (EDO) 1:16 pm  

aminia mimi mtu muhimu kwangu twende naye Chelsea au Cuba au kama tampere twende passion au Klubi..aaa

Simon Kitururu 4:05 pm  

@Dada Yasinta: DUH!
@EDO: :-)

chib 7:20 pm  

Mkuu, mie sichangii, ila nasema wikend njema!

Simon Kitururu 1:00 am  

@Mkuu CHIB: Wikiendi njema na wewe Mkuu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP