Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati mtu ANAJISHUKU!

>> Saturday, August 29, 2009

Kuna kasoro MTU alisha istukia au kuihisi,....
.... kama hata kwa sisi kuangalia upande aliko tu kunatosha kumfanya mtu AJISHUKU!:-(


Na bado kuna kitu anajua au kukihisi,....
.... tayari, kama WATU waongeayo hata ASIYOYASIKIA au hata ayasikiayo YASIYOMUHUSU cha kwanza anahisi ni YEYE anaongelewa hata tu kwa KUJISHUKU!:-(


Kujishuku au tu kasoro za kujihisi,...
... kwaweza KUCHANGIA na sio KUBOMOA kama tu utasawazisha UNAYOJISHUKU.


KUJISHUKU hakuna la zaidi ya kuhisi,...
.....au kusababisha tu ujipotezee muda kwa unalojishuku TUNAHISI hasa kama cha zaidi linakuacha bila PEMBEJEO au MORI WA KUSAWAZISHA na ukweli labda UNAJISHUKU tu na wala kimaisha chupi haijakuingia mnato na unajisumbua bure kubadili mwendo kwa KUJISHUKU kwa kuwa hakuna mwingine zaidi yako limjialo kichwani AHISI na au tu ASHUKU!:-(

Swali:

  • Au?
  • Unafikiri hata watu wahisi bila wewe kujishuku kuna kikuathirishacho?


NI HILO TU!


Hebu Werrason alete za -Sous Sol


Au tu Awilo Longomba amzungumzie-Carolina
















Asanteni wadau wote Wakiwemo Claudius na Cliff asante kwa baadhi ya picha hizi hapa....
Photobucket




Photobucket



Photobucket




Photobucket





Photobucket



Photobucket



Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket



Photobucket




Photobucket



Photobucket

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:08 pm  

picha nzuri nimezipenda

Simon Kitururu 4:30 am  

@Sister Ngonyani: Asante Mwanakwetu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP