Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KUHUSU MWAKA jana!

>> Sunday, August 23, 2009

Swali:

  • Unakumbuka MWAKA jana kama saa hizi ulikuwa unafanya nini?
  • Hivi mwaka juzi kama saa hizi unauhakika haukuwa umebanwa haja kubwa?
  • Au unafikiri si muhimu kukumbuka yaliopita hata kama sio ya mwaka jana kwa kuwa eti tuna ganga yajayo?

Hili ni WAZO tu MHESHIMIWA a.k.a WEE Waziri wa MAMBO YA GHAFLA na Starehe NDOGONDOGO!


AU ngojea The ROOTS wabadili hali ya hewa kwa kitu -The Seed/Melting Pot



AU tu Prince atekenye kwa kitu-Somewhere here on earth

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:29 am  

Sikumbuki nilikuwa nafanya nini?

Simon Kitururu 2:28 pm  

@Yasinta: DUH!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP