Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

NIPO!:-(

>> Thursday, August 06, 2009

Photobucket
Samahani kwa kutoweka GHAFLA kinjolinjo a.k.a KIDUCHU!


DUH!

Ngojea nilainishe swala kwa KUJARIBU KUKWEPA SWALA kwa kumuachia BOOKER T kwa picha kama wakati nilivyomdaka akinisaidia NJONJOLI!:-(

Photobucket



Photobucket



Au ngojea tu BOOKER T alainishe kwa kitu VITUNGUU VYA KIJANI akiwa na wenzie THE MGS enzi hizo katika kitu -GREEN ONION

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 7:29 am  

Siku nyingine uwe unaaga mzee wa mbili tatu!

Simon Kitururu 4:33 pm  

@Papaa Fadhy: Kweli kabisa!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP