Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KUHUSU Kijambio!:-(

>> Wednesday, August 26, 2009

Swali:

  • Hivi unakumbuka NI KWELI kijambio hutumika zaidi KUJAMBA zaidi ya tumizi lake LIJULIKANALO KWA UMAARUFU au liitwalo KUNYA?
  • Hivi unakumbuka ingawa wewe ni MSTAARABU itakuwa BOMBA LA shida kwetu kama tu KWAKO ukishindwa kujamba wakati unahitaji kujamba na HASA ukishindwa kuachia ushuzi MPAKA KWENYE ILE KONA AMBAYO KWA KAWAIDA ndio kona ujisikiayo huru sana AU tu TUIITE jina BAFUNI ambako ULIKOZOEA KUJICHUNGULIA MAENEO au TU ulikojaribia mara kwanza kuonja KAMASI ?
DUH!
NI hilo tu na ni WAZO TU Mheshimiwa!:-(

Ngojea basi tumuachie Mjamaika Usain Bolt aonyeshe jinsi ya kukimbilia choo ukibanwa..



Au tu tumuachie Mjamaika mwingine kwa jina Burro Banton alalamike tena katika kitu--Sekkle Yourself

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa 11:18 am  

labda

Yasinta Ngonyani 11:46 am  

natamani ningeungana na Bolt kukimbilia huko alikokimbilia:-)

Faith S Hilary 10:47 pm  

Hahahahahhahaha you made my day kaka Simon yaani dah just laughing... and Usain Bolt! I hope he throws a party here in the UK maana waingereza wanampenda kweli...lol

Simon Kitururu 5:20 am  

@Wote: DUH!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP