Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

HAPI bethidei EDWARD MORINGE SOKOINE!

>> Wednesday, August 01, 2012

Pumzika MORINGE!
Na nimekukumbuka tu kwakuwa hii ndio tarehe ULIYOZALIWA!

(Nguli Edward Moringe 01/08/1938-12/04/1984)

YEAH!

Ulikuwa NGULI weye aisee!

PUMZIKA SALAMA LAKINI!Na kama BADO unadeku YA huku BONGO  mpaka siku hizi,...
.. kutoka huko MAENEO.....
....SAMAHANI kwa yafanywayo na tuwaitao  WAHESHIMIWA wetu sikuhizi TANZANIA aiseee!:-(

Ni hilo tu MORINGE!

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP