Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika kupima UZITO wa NYOKO Jumapili HIII!

>> Sunday, August 12, 2012

Saa nyingine,...
 ....NYOKO ni ile kitu UNAPENDA kikawaida,.... 
.... na NYOKO ikizidi uzito ndipo NYOKO haistukiwi kinyoko na MHUSIKA aiseee!:-( 


 Swali: 

  •  Kwani unafikiri NYOKO yako uliyoizoea  kwako unaistukia kuwa hiyo ni NYOKO? 


 Na labda ,...
.....USIPIME aiseee hata kama sio KINYOKO!

 Na ni wazo tu hili NGULI! 
Nakutakia JUMAPILI NJEMA MHESHIMIWA!


Hebu Maroon 5 warudie ghafla-Sunday Morning Halafu Lionel Richie ajaribu kuzima  kwa- EASY

 


Ila BOB MARLEY aingilie tena na kuzima kwa kuleta ya-WHO the CAP fit

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:20 pm  

Nimeshindwa kusema na naschoweza kusema ni kwamba uwe na jumapili njema nawe pia Kadoda wangu!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP