Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Usidharau CHUPI kwa kuwa tu BUGALUU lako linavalika bila CHUPI!

>> Thursday, August 23, 2012

Ndio,.... 
... kuna yanayoweza kurukwa MAISHANI,...
 .... lakini LABDA haina maana kwa kuwa HAYO  yanarukika,... 
.... basi YADHARAULIWE kwa kuwa hayo sio MAHITAJI yako!


 Swali:

  •  AU? 


 Ndio,...
 ... kuna uyarukayo,... 
... ingawa labda ni ya muhimu kwa usiyeweza KUMRUKA,...
... ambaye HUYO  ni muhimu kwako hata kama ni kwa kuwa  ni ,...
 ... ambaye kwa ya YAKO ni MUHIMU.:-(

 Ni wazo tu hili NGULI! 

 Hebu Krosfyah Feat. Edwin Yearwood warudie - Sweatin

 


 Krosfyah waongezee- Wet Me


   


 Krosfyah warudie-Sak passe


 Halafu Krosfyah wazime tu tena kwa - Pump me upNipo....
... na Beenie Man alikuwapo KIKAONI aaaiseeeh!:-(
3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:50 pm  

Ni furaha kuwa upo nasi maana binafsi nimekumiss sana..karibu tena Kadoda..Chupi:-)

Rachel siwa Isaac 6:04 pm  

pamoja sana kaka wa mimi na Wazo la leo lipo juu!!!!!

Kibogoji 7:14 pm  

Chupi...bila shaka ni muhimu kwa wakti wake.Nyakati nyingine--chupi ni gagulo. Ni inaweza kukuzingua usipate mtelezo...lol!

Chupi...ni kigeugeu.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP