Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati labda hakuna ZE ``Wondeful way´´ ya KIMAISHA kuficha KUJAMBA kisa kuna YA kisiri!

>> Friday, August 03, 2012

Ndio,...
... labda KIJAMBO ni KIJAMBO tu hata kama ni SIRI ,....
.... NA hata kama hakuna mwingine zaidi yako KIMAISHANI MWAKO  aliye KISIKIA,...
... kijambo ambacho kwako ni SIRI!:-(


Swali:

  • AU?
  • Kwani kama kitu MAISHANI MWAKO ni SIRI si inamaana basi hicho kitu KIPO na si SIRI hata kama unafikiria ni KWAKO tu?


Ndio,...
.... kama kifichwacho KIMAISHA ni UCHI,...
..... basi huo UCHI kwenye hicho KIDUDE  upo aisee na wala sio SIRI!


Ni wazo tu hili BINGWA!

 Hebu Gregory Isaacs arudishe - Poor MillionaireBarrington Levy aajaribu kuzima kwa- Hypocrites

 

 Au tu huyuhuyu Barrington Levy azime kwa - Cool and loving


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP