Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kheri ya SIKU KUU ya WAKULIMA aka NANE NANE!

>> Wednesday, August 08, 2012

Hongera zenu WAKULIMA,...
 ... kwa kutufuturisha MAPOCHOPOCHO! 

  Swali: 

  • Hivi Hii sikukuu inamanufaa kwa MKULIMA? Na sitashangaa kusikia ,....
 ... anufaikaye na SIKU KUU ya MKULIMA sio MKULIMA!:-(Nuta Jazz Band - Pongezi Wakulima

 

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:40 pm  

Hii sikukuu ya naenane inanitinga kweli. Nikiwa na maana kwanini wamebadili jina sabasaba na kuiita nanenane? Kwa maana hiyo tuna sikukuu mbili za wakulima?...Bonge la ujumbe katika wimbo . WAKULIMA OYEEEEEEEEEE!!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP