Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Bado Mawazoni!

>> Tuesday, December 26, 2006




Leo nasikiliza sana Zouk, kama za Kassav hawa hapa chini.....



lakini pia mdundiko na nyimbo mbalimbali nazipitia pia ingawa wimbo huu hapa chini uitwao Kiuno Viuno unanifikirisha kidogo!Hii sio kutiana majaribuni?

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

luihamu 5:11 pm  

Hapa sasa umepatia,hongera mzee Simon.jah live.

luihamu 5:18 pm  

Hivi tunajifunza nini tunapoona miziki kama hii,haya sio maadili ya mtanzania,watoto wetu wanajifunza nini wakiangalia mambo kama haya.Inaniuma sana kuona dada zetu wanakata viuno as if we have no work to do.Kwa kweli tubadilike.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP