Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Sanaa Babu kubwa!

>> Tuesday, December 19, 2006

Ijumaa iliyopita nilipata kushuhudia bomba ya kazi ya sanaa iliyofanikishwa na Wasanii wa kitanzania Arnord Chiwalala, Menard Mponda na Aliko Mwakanjuki. Hii kazi ya kimataifa ilihusisha Tanzania na Umataifa kwa namna ambayo ukitaka kuelewa kongoli hapa. Nitaipandisha kwenye blogu baadaye.Kutokana na matatizo ya kitekinolojia ndio maana haijapanda bado.Halafu kongoli watch the recorded broadcast in Real Player

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 9:42 pm  

bab kubwa wazee hao nawajua kwa mambo zao

Anonymous 7:07 pm  

Yeah... Nilipata kuliona "live" kwa hakika lilikuwa onyesho zuri sana kwa kufungia mwaka..

Simon Kitururu 2:39 pm  

Jamaa wakali , siutani Mzee.Nafurahi kufanikiwa kuona kazi zao mbalimbali.

Anonymous 11:27 am  

Napata tatizo la kufungua hilo faili la Real Player. Sijui tatizo ni nini/ Lakini ninasubiri utupe zaidi juu la onyesho hilo maana wasanii hao, ingawa nyumbani wengi hawawafahamu, nawachukulia kati ya wasanii wakubwa duniani.

Simon Kitururu 2:06 pm  

Na mimi nimeanza kupata tatizo hilohilo sasa hivi.Nitawasiliana nao nijuekuwa ni nini kinasumbua

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP